Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,095
Nunua chuma chakavuKwa mtaji wa shilingi laki 1 naweza kufanya biashara gani Dar es Salaam inayolipa??
Nunua chuma chakavuKwa mtaji wa shilingi laki 1 naweza kufanya biashara gani Dar es Salaam inayolipa??
Pm kufanya nini? 😂😂😂Twenzetu pm 😅
Nitamuua huyo mbwaPm kufanya nini? 😂😂😂
Kuna mbwa mkali yuko mlangoni
😂😂😂 Ana kichaa akikung’ata huponi jiraniNitamuua huyo mbwa
Niache ning'atwe 😅😂😂😂 Ana kichaa akikung’ata huponi jirani
Utakufa 😂😂😂Niache ning'atwe 😅
Umeanza lini kunijali hivyo?Utakufa 😂😂😂
We jifanye sikio la kufa
Ko nikuache ufe? 😂😂😂Umeanza lini kunijali hivyo?
Laki niitoe wapi[emoji23]Countrywide boss wangu nifanyie mpango unipe laki ya mtaji niifanye hii biashara, nasikia inalipa nitapiga pesa nyingi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wateja nishawapata jirani yangu Half american na shem wangu mshamba_hachekwi
Nasikia Arusha hii biashara ya mazaga ya kitimoto inalipa sana 😂😂😂😂Laki niitoe wapi[emoji23]
Mm mwenyewe hapa navizia uwinga
Safi hii [emoji106]Uza mazaga ya kitimoto. Tafuta "kilabu" ya pombe za kienyeji, omba uweke hapo goli lako, maeneo mengi hapa dar unalipa buku kwa siku.
Ukichukua karai, sahani, kuni, benchi 1, dumu mbili za maji, na hela ya kuchukulia mzigo (20k au 30k)
Uza buku kwa kipande, unakaanga hapo hapo.
Ukiweza pika na ugali uwauzie jero jero.
kila la heriSafi hii [emoji106]