Recent content by Shadya9

  1. Shadya9

    JamiiForums Tanzania Nauza Nyumba na kiwanja Chake

    nyaraka sahihi zote zipo ndugu ahsante
  2. Shadya9

    JamiiForums Tanzania Nauza Nyumba na kiwanja Chake

    Maelezo kamili yako jukwaa la matangazo kama ilivyo hapa chini👇👇👇👇👇
  3. Shadya9

    JamiiForums Tanzania Nauza Nyumba na kiwanja Chake

    ahsante kwa kujali ndugu yangu shida zimenikaba sina namna..ndo maisha mkuu..pamoja saana
  4. Shadya9

    JamiiForums Tanzania Nauza Nyumba na kiwanja Chake

    hatua ishirini kwa ishirini na tano waeza zungushia fensi..watoto wakapata sehem ya kuchezea na sehem ya car parking..nauzia shida tu ndugu yangu ahsante mkuu
  5. Shadya9

    JamiiForums Tanzania Nauza Nyumba na kiwanja Chake

    Nauza hii nyumba pamoja na kiwanja kilichoizunguka hii nyumba,,kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu,,zitokanazo na tatizo la kiuchumi linalonikabili Picha ya nyumba kamili ni hio hapo..nimeweka picha takribani 4 pamoja na kiwanja Chake Picha izo hapo...
  6. Shadya9

    JamiiForums Tanzania Tazizo la Email Kwenye Nokia C3, Naomba msaada

    ata akifanya ivyo hatopata suluhu Nokia walishaiuza na huduma iyo ya Emails ilishasitishwa
  7. Shadya9

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I Need A Nanny Cam(For Monitoring My Baby While Am Away)

    na hapo ndipo tunapokwamia tunawachukulia hawa wadada wa kazi as if they are animal's wataacha kututesea hawa watoto? Huyo boss anaonekana alikua akimtesa sana bint wa kazi sasa mkuki kwa nguruwe binti kamalizia hasira kwa mtoto kaonekana gaidi wakati wakichunguza source ya tatizo ni hao maboss...
  8. Shadya9

    JamiiForums Tanzania Watu wawili wachomwa moto Tabata

    so sad vidagaa vinachomwa moto Mapapa wanaachwa
  9. Shadya9

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake wa MMU dili imebumbuluka live

    kuna tofauti kati ya MWANAUME na WAKIUME
  10. Shadya9

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake wa MMU dili imebumbuluka live

    mh hatari sana DUME ZIMA KUJIPA ID YA KIKE HUYO NI SHOGA TU,MWANAUME RIJALI AWEZI FANYA HAYO,but all in all mtandao ni kichaka,lol
  11. Shadya9

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vitu hivi humfurahisha mwanamke

    ukweli mtupu
  12. Shadya9

    JamiiForums Tanzania Napenda sana umbea

    kumbe mwanaume?,mamaweeeeeeeee
  13. Shadya9

    JamiiForums Tanzania Napenda sana umbea

    we ni ke au me?
  14. Shadya9

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa kwa mkataba - tenable for 5 years!

    safi sana hii imetulia
Back
Top Bottom