Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
Natafuta mwanamke ambaye nitamuoa kwa mkataba (tenable for 5 years, renewable subject to satisfaction). Nimegundua kuwa wanawake wengi ni very stupid na akili zao zina deteriorate (progressively become worse) with time katika mahusiano! Kwa hiyo natafuta mwanadada ambaye tutadumu naye kwenye ndoa, sio zaidi ya miaka 5, muda ambao nadhani atakuwa hajafilisika sana kiakili. Awe mzuri na mwenye akili timamu (above average).
Wanawake wengi wanakuwa kwenye uhusiano mguu nje mguu ndani, halafu ukipata challenge au yeye akipata challenge ndogo tu, badala ya kuikabili na kuichukulia challenge kama njia ya kujiimarisha, anaigeuza kuwa tatizo kubwa sana kwenye mahusiano halafu anaanza kujenga sababu mfu za kujitoa kwenye uhusiano.
Nitakuwa mtanzania wa kwanza kudeclare publicly ndoa ya mkataba!
Mdada mwenye mrengo kama wangu na sifa nilizozitaja, NIPM. Over.
In addition, contract ni pensionable - Fao la kujitoa kwenye ndoa.