Recent content by Shadae

  1. S

    Balozi wa Tanzania nchini Marekani anaidanganya dunia

    Kwakweli huu ni ujinga,mimi ni mwana-CDM,lakini siungi mkono ujinga huu, tunashabikia kuwa nchi yetu izungumzwe vibaya kimataifa,ili iwe nini? ulimbukeni huo? Kazi ya balozi ni kuitangaza vizuri nchi yetu kimataifa,sasa tunataka aiponde nchi yetu,shem on you! ujinga huo!
  2. S

    Huu ni wakati muafaka wa kuondokana na hisia za u-Slaa vs u-Zitto...

    CDM ni zaidi ya zito, km yeye ndo tatizo,kwanini tusimtimue? tunaogopa nini? au bila yeye hatuwezi endelea?
  3. S

    DTB-Diamond Trust Bank

    Naenda J3 pia
  4. S

    DTB-Diamond Trust Bank

    Interview ya tatu inahusu nini? manake ya pili ilikuwa oral,sasa hii ni ya namna gani?
  5. S

    DTB-Diamond Trust Bank

    Interview ya kwanza tulifanya writen,ya pili tulifanya oral, hebu nisaidieni, hii ya tatu ni ya namna gani? sijui nijiandae nini!
  6. S

    Udom kama Barcelona

    UDOM wanatisha ktk interview, wameteka soko la ajira, Aibu kwa wote waliokiita chuo cha kata, pigeni shule,jivunieni kuwa UDOM, Soko la ajira linawatafuta wana UDOM.
  7. S

    Gazeti Mwananchi: CHADEMA sasa Vipande viwili!

    Let us not be bias kwa kila jambo, msijifanye wajinga,au reasoning capacity yenu ni ndogo kiasi hicho! Hii ni hatari kwa taifa letu,ukizingatia vijana ndo tunakuwa bias hivi. Makundi mawili yanaonekana wazi kabisa ktk hili,kwann mnaamua kujivalisha ujinga,mimi ni mwanachadema,lakn kamwe cpendi...
  8. S

    DTB-Diamond Trust Bank

    Yah, hata mm walinambia kuna ya tatu
  9. S

    DTB-Diamond Trust Bank

    Vp,hawa jamaa bado kimya
Back
Top Bottom