Fleets to DXB kutoka Tanzania kwa siku nnazozijua ni kama 4 hivi, Emirates Fly Dubai ya DAR, JRO, na ZNZ izo ni kila siku lazima zifanye iyo Route na zinapata Abiria wa kutosha,, nahisi hata ATCL akianza atapata abiria tu kawaida ila hawezi Kushindana na akina Emirates-Fly Dubai izo Kampuni ni...