James benard
Member
- Aug 12, 2018
- 14
- 8
Kwani wale wanao wanaoshangilia kwenye hotuba za jiw ni akina nani
Unaweza ukashangiliwa.. Na ukasifiwa kumbe unaibiwa
Kwani wale wanao wanaoshangilia kwenye hotuba za jiw ni akina nani
Mkuu acha kuongea ujinga, ukiona haungwi mkono ujue kuna tatizo, siku nyngne ukitaka kuandika uzi utumie akili sio makanyagio[emoji29]Madiwani wanahama vyama vya upinzani pamoja na wabunge wao ili kuunga mkono juhudi za Rais katika kuleta maendeleo nchini. Hawa pia wanafuatwa na baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani kuhamia CCM.
Nimekuwa najiuliza sana na ninaomba tusaidiane majibu.
Kwanini hakuna wananchi wanaounga mkono juhudi hizo?
Je, wananchi hawayaoni anayofanya rais?
Maoni yangu mimi noti mpya tz:
Kama kuna sehem kitengo cha propaganda ccm kimefeli ni hapa... kwanini hawawahamishi na wananchi?
Acha mbwembwe.Wana asili yao sifa ya mtanzania kamili haruhusu kununuliwa mfano mwalimu nyerere ila wahutu wanajuana.
box lipi lile lililoporwa na polisi kule kinondoniKuwa mwandishi halafu ushughulishi akili yako ni sawa na bure...hao madiwani na wabunge wanapoama ushawahi kuna kwenye box LA kura wanashindwa,wananchi wanamuunga mkono Rais Magufuli kupitia box LA kura.
Mkuu usikalili matukio jaribu kwenda na wakati.box lipi lile lililoporwa na polisi kule kinondoni
Hivi hujui kuwa nchi hii kuna kiongozi na wananchi? Hayo ni makundi mawili tofauti kabisa!Hao uliowataja sio wananchi wa Tanzania?
Ukiona mtu anaandika "usikalili" tayari huna haja ya kupoteza muda wako kwake kwani haijifichi huyo ni level ipi.Mkuu usikalili matukio jaribu kwenda na wakati.
Mkuu naona wewe umefikiri kwa kutumia nguo ya ndani kuandika haya.Mkuu acha kuongea ujinga, ukiona haungwi mkono ujue kuna tatizo, siku nyngne ukitaka kuandika uzi utumie akili sio makanyagio[emoji29]
inategemea na umma wenyewe unajitambua? otherwise ni bure Kabisa .CCM inajiumiza pasipo kujuà,hata kama wana polisi bado nguvu ya umma ipo juu
Asante mkuu, ndo maana yangu hasaNahisi alimaanisha wale ambao sio viongozi kwa level ya siasa!
Kiongozi kama huyuAcha mbwembwe.
Tafsri ya mwananchi na mtanzania inajulikana.
Hata hao viongozi ni wannanchi.
Lini kura na wapi zilihesabiwa wakashinda?Kuwa mwandishi halafu ushughulishi akili yako ni sawa na bure...hao madiwani na wabunge wanapoama ushawahi kuna kwenye box LA kura wanashindwa,wananchi wanamuunga mkono Rais Magufuli kupitia box LA kura.
Ushamba mzigo Mkuu...waliojifunza lugha ukubwani ndo wenye shida ya kuchanganya kiswahili na kiingereza pamoja,tunawajua nyinyi Kwa hisani ya Ras simbaUkiona mtu anaandika "usikalili" tayari huna haja ya kupoteza muda wako kwake kwani haijifichi huyo ni level ipi.
Mbona hatusikii mkihama?Kwani ulivyotaka kuhama wamekukatalia? Si unahama tu,Wananchi tunaunga mkono kazi nzuri inayofanywa na Rais wetu.