Recent content by shabil magalla

  1. shabil magalla

    Nafasi ya kazi kwa binti wa miaka 18+

    Anahitajika binti kati ya miaka 18+ Awe na cheti cha Form 4 Awe amehitimu course ya Secretary Awe anajua kutumia computer Awe anajua Kiingereza hata kidogo Awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa juhudi na hali Mshahara kulingana na ngazi ya elimu yako Wahi sasa kijana mwenzangu fursa ndio...
  2. shabil magalla

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Samahani wanaJF me ni muhitimu wa chuo fulani#kulingana na upepo nimefikilia kujiajili na nauna ufugaji utanifaa naombeni experience yenu juu ya ufugaji wa kuku WA kisasa au naweza Pata wapi dalasa ili nifuge kwa ufanisi mkubwa[emoji120]
  3. shabil magalla

    Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

    Asalale.... Binti kivuruge na Chafu pozi hawataki mazoea ndani ya ligi ndogo...
  4. shabil magalla

    Hivi kuna watu wamechagua ualimu wa arts?

    Kusoma ni kuondoa ujinga na kupanua maalifa but not 4 employed! Some were?
Back
Top Bottom