Nafasi ya kazi kwa binti wa miaka 18+

Nafasi ya kazi kwa binti wa miaka 18+

Joined
Sep 21, 2017
Posts
9
Reaction score
10
Anahitajika binti kati ya miaka 18+

  • Awe na cheti cha Form 4
  • Awe amehitimu course ya Secretary
  • Awe anajua kutumia computer
  • Awe anajua Kiingereza hata kidogo
  • Awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa juhudi na hali
Mshahara kulingana na ngazi ya elimu yako

Wahi sasa kijana mwenzangu fursa ndio hii.

Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu acha utapeli kijana. Naona post za ualimu hazijatoka, na sasa unataka uwaumize vijana wenzako eehhhh....!!
By the way, bado upo Mtwara ama ulipata tempo sehem?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana, naona Chuo cha ualimu Kitangili kimekuharibu kabisa
IMG_20191212_154341_930.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom