Recent content by shabanmbarak

  1. shabanmbarak

    PreGE2025 Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwao

    Sio airport-usagara wew nae waga muongo muongo mda mwingine. Kinachotia ukakasi ni miradi kusuasua lakin kama ikienda kwa speed bas ni jambo jema
  2. shabanmbarak

    PreGE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

    Kuna watu watakutukana ila ujue hili taifa lina watu wanaakilì mgando sana,ndio maana mamtu yanatapeliwa kwa tuma kwa namba hii.ASANTE KWA KUWAZA NJE YA BOX
  3. shabanmbarak

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Nachofaham ni kuwa tren inayopita kwenye MGR haiwez kupita kwenye SGR sababu miundombinu ya hizo train ni mahsusi kwa aina ya reli flani
  4. shabanmbarak

    PreGE2025 Wanaojadili Urais wa 2030 ilihali 2025 Kuna Uchaguzi mkuu, wanatuonaje Watanzania?

    Jaribu kuwa specific unataka kujua awamu ya kwanza ni ipi au why ccm itoe fomu moja 2025?
  5. shabanmbarak

    Naombeni ushauri wa Biashara ya vitenge kutoka Zambia

    Sas kwanin watu wasilipe kodi wauze kwa amani?
  6. shabanmbarak

    Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

    Kwa kweli ndugu yangu kwa sas ni LC 300 ila huko mbeleni tutajua 😂
  7. shabanmbarak

    Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

    Harrier ,Fortune,Prado Tx,V8 na LC 300 .Mtiririko utakua hivi
  8. shabanmbarak

    Makamu wa Rais hakutumia busara kujitangaza kuwa yeye ni shabiki wa Yanga

    Ni maajabu kama utashindwa kumchagua mtu kisa ni shabiki wa team fulani.
  9. shabanmbarak

    Kuna watu ndani ya CCM wanatumika na Upinzani, wana nia ovu kwa Rais. Huu mtego tumeugundua

    Mbona wew ndo mwendawazimu ulietumwa 😂😂😂.Makonda aliomba mdaharo mkapita kushoto sembuse samia
  10. shabanmbarak

    Historia ya maisha yangu baada ya kuacha kazi ya utumwa wa CCM

    Fanya ulipe hilo deni,bado unandoto kubwa sana za kutimiza 🤝
Back
Top Bottom