Recent content by SHABANIBUMBO

  1. S

    Jaji Lubuva Asema Sheria Inawaruhusu Raia Mita 200

    Kaeni hata mita 20,lkn kamwe ccm haitafanya makosa,Nchi haiwezi kupewa fisadi kama mnavyofikiria, tusubiri tuone bado cku 4tu,lkn kwenu nyinyi ukawa kuchukua ni ndoto za mchana, please nitafute jtatu nitakupa majibu yako.
  2. S

    Ni Saa 144 za Kifo cha CHADEMA

    Pole sana ukawa, je mmeshawachagua mawakala madhubuti maana hamuishi kulalama tutaibiwa tutaibiwa, kapigeni kura sio kujaza bendera na kua na watu wasiojiandisha, kumbuka usemi huu wingi sio hoja bado cku5 mtaitwa Ukiwa.
  3. S

    Hofu ya Lowassa kuhusu mawakala wa CHADEMA wa kuhesabu kura

    Nendeni hata uingereza kuwaleta mawakala nyinyi chadema hapa ni kazi tu, ushindi mapema sanaaaaaaaa.
  4. S

    Hofu ya Lowassa kuhusu mawakala wa CHADEMA wa kuhesabu kura

    Ndio maana wanambwelambwela tu kwani mawakala hawawezi kuacha mpunga ikiwa mbowe mnyika tundulisu mdee wamechukua pesa hata ningekua mm siachi mbona wao wamechukua nakumsaliti Dr slaa? Ndio hawishiwi maneno Mara hili mara lile, Wataisoma namba Ccm mbele kwa mbele.
  5. S

    Hasira za nini Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete?

    Nashangaa mnyika Lissu mbowe na mdee wapo kimya maskini hawana cha kuongea juu ya Lowasa kwani wao ndio walimwita fisadi papa na kujipatia umaarufu juu ya Lowasa leo ndio anataka kuwaongoza kweli mmekwisha, sasa mnatoa hutuba zenu kwa vizia.
  6. S

    Hasira za nini Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete?

    Sasa mbona mna wasiwasi wa kuibiwa? Tafuteni mawakala mnao waamini ili wa kusimamieni kura zenu, naona mnajijua nyinyi watu dili ndio maana mnawaza kuibiwa, sisi hatuna shida tukimpa wakala wenu sh50,000tuanasaini.mbona viongozi wenu hakukataa pesa kwa Lowasa,mtaisoma namba ccm mbele kwa mbele.
  7. S

    Swali moja kwa moja kwenda NEC

    Sawa na hicho ndio unachokitaka poa utaweka historia kubwa sio mbaya inonyesha mtakua wengi uchaguzi huutakaoweka historia.
  8. S

    CCM inang'olewa na wakati na sio UKAWA wala Lowassa

    Hamna shida najua mtapungua sana mwaka huu kwa ubishi mlio wengi ni miaka 14-25 haya ngoja tuone matokeo lkn nina hakika %100 ccm inashinda kwa kishindo,mm nitakua wa kwanza kupiga kura karma Mungu ataniweka salama baada ya hapo narudi nyumbani nitakucheki kwenye runinga siku hiyo ukilinda kura.
  9. S

    CCM inang'olewa na wakati na sio UKAWA wala Lowassa

    Naona tutabishana sana nitakutafuta tar26.utanipa majibu hatuwezi kuvunja usia wa Baba wa Taifa tutalaaniwa, sawa na nchi tutaingiza kwenye machafuko,hivyo basi tutekeleze usia.
  10. S

    Ni mwaka wa viroja hasa

    Mm naona poa tu Hapa Kazi tu, mchezo kacheze ukawa.
  11. S

    CCM inang'olewa na wakati na sio UKAWA wala Lowassa

    Baada ya ushindi wa kishindo,miaka 5ijayo hatuna haja tena kupiga pushap kwa sababu Magufuri atakuwa ameshatimiza ahadi zake kama si kumaliza.
  12. S

    CCM inang'olewa na wakati na sio UKAWA wala Lowassa

    Tunapata shida ya kupiga pushap kwa ajili ufisadi wa Lowasa nafikiri baada ya miaka 5,hatuna haja tena ya kufanya kampeni.
  13. S

    Vijana tukumbuke kuwa, kuna maisha baada ya uchaguzi

    Nikweli kabisa lkn mm nafikiri nawazo ya walio wengi wanampango wakuwafuata viongozi waliowapigia kampeni ifisini kwa kuomba msaada cause ndivyo wanavyowadanganya.
  14. S

    Balozi Juma Mwapachu ajivua uanachama wa CCM, hajaamua kujiunga na chama kingine

    Sema kweli muogope Mungu, hao wanaondoka sio waungwana ni Mafisadi au wapiga Dili waacheni waende huko,naamini baada ya uchaguzi Chadema inafika mwisho sasa najiuliza watafanya kazi gani au watarudi ccm?
  15. S

    Balozi Juma Mwapachu ajivua uanachama wa CCM, hajaamua kujiunga na chama kingine

    Mm nilikuambia hao wote ni wapiga dili wanamfuata kiongozi wao wa ufisadi haina shida cc tutabaki na wachache lkn wakiwa safi ccm ya Magufuri sio mchezo kama ww ni mpiga dili jiondoe mapema kwani Hapa ni Kazi Tu.
Back
Top Bottom