kisiri mwihechi
Senior Member
- Jun 8, 2015
- 135
- 24
Mimi napita tu
Mm nakubali ccm walikuwepo mafisadi na kiongozi wao ni Lowasa lkn sasa wote wamemfuata huko aliko ambao walikua wanamsumbua sana Raisi wetu Kikwete lkn sasa ccm iko safi haina mafisadi, wapiga dili wote wanamfuata,kila la kheri uko muendako lkn nchi hampewi kwa njia yoyote.
Kwa kifupi tu kumbukeni kejeli na kubeza kulikofanywa na kunguru wa mabadiliko wakati wa mijadala ya kuanzisha mfumo wa vyama vingi nchini. Kura zikapigwa, tukaambiwa asilimia 80 wamechagua chama kimoja. Lakini wakati ukashinda, maana wakati ulichagua vyama vingi.
Nelson Mandela ambaye alikuwa mfungwa kwa miaka zaidi ya 20 lakini wakati ulipofika alikuwa Rais wa kwanza wa Afrika Kusini mpya.
Kanali Muamar Gaddafi alikuwa kiongozi aliyeleta maendeleo ya hali ya juu kwa ustawi wa jamii ya watu wa Libya na Afrika kwa ujumla. Alifikia mahala pa kudhaniwa kuwa angekuwa Rais wa Afrika endapo Afrika ingeungana na kuwa moja. Alikuwa na ndoto ya kuleta umoja wa kweli katika Afrika.
Huyu jamaa alishindana na kupigana na wakati. Mwisho wake mnaujua vema.
Huu ni wakati wa mabadiliko Tanzania. Na sio mabadiliko wanayoyasema CCM na uongo wao wa kudanganya wapiga kura wenye ukunguru wa mabadiliko eti wananchi hawataki mabadiliko ya chama, mabadiliko tunayoyataka yanaanza na chama kilichopo madarakani kung'oka kwanza.
Huu ni wakati wa CCM kung'oka. Mabadiliko ya kweli ni CCM kung'oka kwanza na mjadala mwingine utafuata.
Subirini mjionee nyinyi mnaodhani CCM ni mungu wenu. Angalieni mjionee kama CCM inaweza kushindana na wakati.
Jiulizeni kwa nini Magufuli badala ya kuinadi CCM anajinadi yeye mwenyewe!!!!! Anajua CCM ni lazima ing'oke, anatamani angegombea kwingineko.
umeanza vizuri ila umemalizia kwa pumba kama wapinzani wangekuwa makini walikuwa wanaiondoa ccm mwaka 2025 lakini kitendo chao cha kutumia mafisadi ndio wamechemka inabidi waanze tena mwanzo itachukua muda mrefu kwani wamewapa nafasi ccm ya kujitazama upya
Hoja yake ikitokea ikatimia kinyume na wewe na wajuzi wengine wa siasa, utamweka darasa gani? Nafikiri wewe Ni msomi wa chuo kikuu, swali: tuseme hoja Ya huyu jamaa ime-prevail, CCM ikafa kibudu, utarudishwa kwenye elimu ya darasa la Saba?!!wewe nafikiri sijui elimu yako ni ya darasa la saba maana hoja zako ni za chooni haya hata na elimu kwenye maswala ya kisiasa hauna unakurupuka kaa chini ufunzwe na wanaojua siasa na watakuonesha alama za nyakati zinaenda vipi
Hamna shida najua mtapungua sana mwaka huu kwa ubishi mlio wengi ni miaka 14-25 haya ngoja tuone matokeo lkn nina hakika %100 ccm inashinda kwa kishindo,mm nitakua wa kwanza kupiga kura karma Mungu ataniweka salama baada ya hapo narudi nyumbani nitakucheki kwenye runinga siku hiyo ukilinda kura.
Hoja yake ikitokea ikatimia kinyume na wewe na wajuzi wengine wa siasa, utamweka darasa gani? Nafikiri wewe Ni msomi wa chuo kikuu, swali: tuseme hoja Ya huyu jamaa ime-prevail, CCM ikafa kibudu, utarudishwa kwenye elimu ya darasa la Saba?!!
wewe nafikiri sijui elimu yako ni ya darasa la saba maana hoja zako ni za chooni haya hata na elimu kwenye maswala ya kisiasa hauna unakurupuka kaa chini ufunzwe na wanaojua siasa na watakuonesha alama za nyakati zinaenda vipi
Ipyana mbona unawaka hivi!!!??? Ha'fu unadhalilisha wanyakyusa mzeiya. Bora ungejiita Mende tujue moja.
Wanyakyusa wanataka mabadiliko na wanajua huu ndio wakati...ndosi ghwa kugu ughwe!!?
Kwa kifupi tu kumbukeni kejeli na kubeza kulikofanywa na kunguru wa mabadiliko wakati wa mijadala ya kuanzisha mfumo wa vyama vingi nchini. Kura zikapigwa, tukaambiwa asilimia 80 wamechagua chama kimoja. Lakini wakati ukashinda, maana wakati ulichagua vyama vingi.
Nelson Mandela ambaye alikuwa mfungwa kwa miaka zaidi ya 20 lakini wakati ulipofika alikuwa Rais wa kwanza wa Afrika Kusini mpya.
Kanali Muamar Gaddafi alikuwa kiongozi aliyeleta maendeleo ya hali ya juu kwa ustawi wa jamii ya watu wa Libya na Afrika kwa ujumla. Alifikia mahala pa kudhaniwa kuwa angekuwa Rais wa Afrika endapo Afrika ingeungana na kuwa moja. Alikuwa na ndoto ya kuleta umoja wa kweli katika Afrika.
Huyu jamaa alishindana na kupigana na wakati. Mwisho wake mnaujua vema.
Huu ni wakati wa mabadiliko Tanzania. Na sio mabadiliko wanayoyasema CCM na uongo wao wa kudanganya wapiga kura wenye ukunguru wa mabadiliko eti wananchi hawataki mabadiliko ya chama, mabadiliko tunayoyataka yanaanza na chama kilichopo madarakani kung'oka kwanza.
Huu ni wakati wa CCM kung'oka. Mabadiliko ya kweli ni CCM kung'oka kwanza na mjadala mwingine utafuata.
Subirini mjionee nyinyi mnaodhani CCM ni mungu wenu. Angalieni mjionee kama CCM inaweza kushindana na wakati.
Jiulizeni kwa nini Magufuli badala ya kuinadi CCM anajinadi yeye mwenyewe!!!!! Anajua CCM ni lazima ing'oke, anatamani angegombea kwingineko.
Ndoto yako nmeipenda
Lowasa out!!!!!!
Mabadiliko sio kwa porojo kama mnavyodanganywa mabadiliko ni ukombozi wako wa kifikra ujitume na ufanye kazi kwa bidii
Fikiri Kwa Weledi, Kwanini Ridh K. Tajiri, Je Wameshirikiana Na Lowasa? Acha Kukaririshwa Na Mzee Wa Ndovu Je, Vip Balali Alizikwa Na Lowasa?