Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,422
- 5,594
hahahahah,mamaaeee
Sasa sijui hizi nazo ni push-ups?
Duh! kweli dunia hadaa!!
Siasa huwatoa watu ufahamu na kuwafanya wafanye vitu visivyo na maana kabisa
Wewe mwenye mtazamo wa kishetani ndiye unaona haina maana, yeye alifanya hivyo kumsupport kiongozi wake
Mwaka huu kweli ni shida,wanawake wanapiga pushup wanaume wanavaa madela ya ccm mpaka raha,piiipoooooooo
Ni shoga kama mashoga wengineMwingine huyu hapa