Recent content by Shabani mwembe

  1. Shabani mwembe

    Auto engineering

    Habari zenu ndugu zangu Napenda kuwajuza kwamba kama unatatizo lolote katika gari yako linalohusiana na Umeme kama vile, taa ya check engine, gari kukosa Nguvu pia kama unataka kufungiwa sound ya kisasa na video n.k tuwasiliane kupitia Mobile no.0788-032488 0762-114025...
  2. Shabani mwembe

    Ondoa pattern, password ulizozisahau pasipo kuflash simu

    Kweli man mm hlo tatzo lilishawahi kunikuta sasa mbinu mbadala in IPI mkuu
  3. Shabani mwembe

    Biashara ya kuuza genge

    Yap mkuu biashara ya genge inalipa endapo utakuwa makini kuwasoma na kuwaelewa watu unaowalisha, jitahidi sana uwe unauwezo Wa kuuza mzigo Kwa haraka na kuchukua mwengine Kwa kuto kuangalia faida kubwa, yaani ni bora faida iwe ya kawaida lkn mzigo kila Siku au mbili hadi tatu ili uwe unamzigo...
  4. Shabani mwembe

    Instagram imenisaidia kupata profit ya milion 8 mwaka huu 2017

    Safi man ifike hatua itambulike Instagram sio Kwa ajili ya kuonesha umevaaa nn? Na kutaka sifa Kwa watu,
  5. Shabani mwembe

    FUNDI UMEME WA MAGARI

    Habari yako ndugu, dhumuni LA kuandika ujumbe huuu baada ya kuona watu wengi wakiteseka na taaa ya check engine kwenye magari yao sasa mimi nikiwa kama Fundi nikaona niwahabarishe ndugu zanguni, ukipatwa na tatizo kama hill nitafute nikusaidie. Utanipata kupitia 0788-032488...
  6. Shabani mwembe

    Nairobi Hospital: Hatujapokea fedha zozote kutoka Bunge la Tanzania

    Aiseeee watanzania na sisi tuamke tushindwa hata na msumbiji Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
  7. Shabani mwembe

    Tabia 10 za watu wenye mafanikio

    Yap sasa ni wakati wa kujifunza kupitia watu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Shabani mwembe

    Fundi umeme wa magari

    Mm ni fundi mwenye uzoefu ktk kaz yangu natengeneza magar ya aina yote wasiliana nami kupitia Namba zifuatazo no.0659717838 0687002007 0762114025
Back
Top Bottom