Recent content by SHABANI MUSHI

  1. SHABANI MUSHI

    Nyasi za Juncao: Suluhusho la malisho ya ng'ombe, mbuzi na kondoo

    Mpaka wa Leo sijafanikiwa pata Mbegu zangu!!! [emoji20] Na ukaahidi kumitumia Tena chamsingi niandae nauli tu lakini kimya mpaka leo
  2. SHABANI MUSHI

    Kampuni ya Irvine ya Zimbabwe yaingia kuwekeza Tanzania

    Umeanza vizuri saana ila umemalizia hovyo
  3. SHABANI MUSHI

    Trector aina ya lovol

    Mtoa madam kama anapromote Hiyo lovol,, sijui labda Nimefatilia Reply zake na kuzielewa tofauti
  4. SHABANI MUSHI

    Je, Wachagga na Wamasai ni ndugu moja?

    Hivyo nazani kulingana na majadiliano ya wadah kadhaa hapo juu,,, kwa wachaga walioko saivi Kuna mchanganyiko wa Nilotes na wabantu
  5. SHABANI MUSHI

    Je, Wachagga na Wamasai ni ndugu moja?

    Nilisikiaga wazee wakisema kuwa "Sisi baba yetu mzaa babu alikua ni mmasai .....na alioa wanawake wengi na kila kaya ilikua ni wafugaji na wanamiliki aina Fulani ya mifugo, , ....'''
  6. SHABANI MUSHI

    Mtaji wa million 5 naweza kufanya biashara gani Arusha?

    Kaka naomba niulize swali dogo tu, mfano nimenunua simu zenye thamani ya 5mil pale border kuingia Tz wanaweza nichaji ngapi?
  7. SHABANI MUSHI

    USHAURI: Napata hasara kila siku

    Iron ulete!!! Omba dawa Kwa wadau wakuelekeze
  8. SHABANI MUSHI

    Watalaamu wa masuala ya kifedha kupitia kwa mawakala naomba mawazo yenu katika hili

    Hapana, sms ziko sahihi sema Iko hivi Unapomwagiza mtu akuwekee fedha kwa Hawa mawakala hasa upande wa bank mwambie ajaze namba yako muwekewaji Ili Either CRDB au hao NMB wakutumie hiyo text ya muamala moja kwa moja na so vingine
  9. SHABANI MUSHI

    Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

    According to ufahamu wangu, Hawa Sundar / aborder walikua wanauza Sola @watt ( yaani watt moja) ni tsh 1,700/= hivyo mfano unataka watts 100 ✓ 170,000/= , watts 200 ✓ 340,000 Hadi 300,000/= Ukija upande wa betri z drycell/za unfa (lead acid) zilikua zinauzwa @1N (N moja ) ni tsh 2,400/= mfano...
  10. SHABANI MUSHI

    Pafyumu za kupima-Utajiri nje nje!

    Hivi hii inshu Iko really?
  11. SHABANI MUSHI

    Pafyumu za kupima-Utajiri nje nje!

    Naweza pata mawasiliano ya hicho kiwanda tafadhari au location kilipo? Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
  12. SHABANI MUSHI

    Biashara gani ulifanya ukiwa chuoni?

    Kumekua na maswali mengi saana ya namna hii , unakuta mtu anakwambia labda ni mtaji kiasi Fulani nikafanye biashara Gani au Nina Elekea kuimaliza chuo/Niko likizo nikafanye kazi Gani huo muda ambao ntakua free!!! Sasa Leo ngoja niseme kitu kimoja baishara ni kama Hobby ya mtu na mtu ( Ukifanya...
  13. SHABANI MUSHI

    Nani anafahamu kuhusu Twitter follow

    [emoji23][emoji23]dalili ya watu kulia, inanukia
Back
Top Bottom