Recent content by Shaban Mwiga

  1. Shaban Mwiga

    JamiiForums Tanzania MSAADA

    Naomba mnisaidie namna ya kufungua tovuti/website ya taasisi ya serikali au binafsi mfano shule
  2. Shaban Mwiga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati Ya Ombi na Maombi Lipi Sahihi zaidi.

    Inategemea hapo, maana ombi means umoja, na maombi means wingi, so yote yanaweza kuwa majibu inategemea na swali, lakin sahihi hapo ni ombi mf. Yah ombi la ruhusa ya siku yau Yah maombi ya ualimu
  3. Shaban Mwiga

    JamiiForums Tanzania Nauza pikipiki boxer BM 150

    Ina muda gan?
  4. Shaban Mwiga

    JamiiForums Tanzania Nauza pikipiki boxer BM 150

    Toa bei
  5. Shaban Mwiga

    JamiiForums Tanzania Halotel kwa Sasa haifai kabisa

    Halotel wamepunguza mb, nafikir wataendeleza kupunguza Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Shaban Mwiga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui nimeathirika na Nyeto au La !

    Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Shaban Mwiga

    JamiiForums Tanzania MWANZA: Mwalimu afumaniwa akifanya mapenzi na mwanafunzi wake darasani

    Hiv ni kweli wanafunzi hawa hawagegedwi kweli???, wanaripoti wakiwa bikra, na kama wanaliwa, mbona hawabainiki kila siku, huyo mwl alikosa hela ya kusafir mbali na mtoto kwel??, hapo amekosea environmental technique Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  8. Shaban Mwiga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taifa stars vs south Africa ,vilaza wawili wa soka wanaminyana hapo baadae ,

    Mechi inachezwa saa ngap kwa saa za EA?
  9. Shaban Mwiga

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Basi la Adventure connection lagongana na Fuso

    Poleni sana abiria, mshukuruni mungu
  10. Shaban Mwiga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Wafanyakazi kazini hawanipendi

    Kazini kwangu watumishi wenzangu hawanipendi kutokana na mimi kupendwa sana na wanafunzi kutokana na kuwafundisha vizuri na somo langu kufanya vizuri kuliko masomo mengine na wanafunzi hao kuonyesha kunipenda zaidi mimi kuliko wenzangu, sasa wenzangu wananitenga nifanyaje?
  11. Shaban Mwiga

    JamiiForums Tanzania Watanzania mnatoa ushauri upi kuhusu mfumo gani utumike kumsomesha mtoto wa kike Tanzania??

    Wakipewa mimba waruhusiwe kuendelea na masomo baada ya kujifungua
  12. Shaban Mwiga

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Special Thread

    Hiv ramadhan inaanza lini, msaada jaman
Back
Top Bottom