28.11.2022 nilifanikiwa kuingia oral nikaoata kazi kupitia database tarehe 28.9.2023 na Leo 6.10.2023 historia imewekwa. Nimekuja kuripoti hapa DMI DAR ES SALAAM. nimepokelewa viruri kabisa
#NITAKUWA MTUMISHI MWEMA
Hapana boss mimi nilikosa placement ya juzi na naona kabisaaa course niliyosoma na nafasi niliyoikosa kwenye placement kutokea database ni aslimia chache sana japokuwa naamin DATABASE IPO.
Nafikili database ipo, ni swala la muda tu. Mdogo mdogo watu watachomoka. Ila kuna cozi naziona kuwa na uwanja mpana wa kupata kupitia DATABASE. Mfano
ICT
KILIMO
ACCOUNTANTS hapa nawaona internal auditors n.k
TUTOR ASS
GAME WARDEN. kama kuna wengine nimewasahau tuongezee.
Lakin na sisi wengine...
MOCU ilikuwa oral yangu ya kwanza ninaiman nitaingia kwenye oral zengine. Kwa mimi kozi niliyoisoma(Public Administration) in relation to GPA,siamin kama kutakuwa na database, so kwa upande wangu i will not believe on database.
Nimekuja kugundua kuwa unaweza ukajibu vizur kabisa na usipate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.