Recent content by shaaban massawe

  1. S

    JamiiForums Tanzania Makamanda Monduli wasambaratisha ngome ya Lowassa

    Mbona tuadanganyana mchana kweupe hao ndo watu 750? Hivi hawa ndg.wa cdm wakisema ukweli huwa wanapungukiwa na damu kwa bahati sitaki kuamini huo uwongo na sintakaa niamini kamwe ukweli ni hiyo picha jamani nisaidieni hao watu ni wangapi?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Samson Mwigamba 'atimuliwa' uongozi ACT-Tanzania, Prof.Kitila, Mchange wapewa karipio kali

    Na bado ukawa kwishineeeeeeee
  3. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuizindua Helcopta ya Ufufuo na Uzima

    Ww ni mpumbavu usitujane waislam SHENZI KABISA WEWE huna adabu kabisa na ulaaniwe Shetani mkubwa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi Kampuni za Simu zinavyowaibia wateja wao!

    Waziri wa tecnologia na mawasiliano na naibu wake yupo na wanayajua haya kisa10% alafu naibu waziri wa wizara husika anataka Urais kwa mtaji huu Urais asahau labda awe rais wa Bumbuli
  5. S

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mzee mawenge ajipange kusajili beki Januari vinginevyo tumekwisha ndugu zangu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal leo anaingia 16 bora kama kawaida kwa ushindi wa goli nyingi
  7. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ilipata wabunge kwa kutumia fedha -Mzirai

    Huo ndio ukweli mkuu kama huamini subiri trh 14/12/2014 utakubali mwenyewe
  8. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ilipata wabunge kwa kutumia fedha -Mzirai

    Arusha cdm imeshazikwa toka mwaka jana
  9. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kushindwa vibaya serikali za mitaa

    Kwa Arusha lawama zote zimwendee Mbunge Lema kwa kushindwa kutekeleza ahadi alizoahidi kuzitekeleza hapo 2010 mfano machinga com, Hospitali ya kinamama na watt, Trekta, Gari la Wagonjwa na kusomesha watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi kwa kushindwa kutekeleza ahadi hizi ni shida sana cdm...
  10. S

    JamiiForums Tanzania CCM yazidi kuangukia pua Arusha

    Msiwadanganye wananchi uchaguzi wa vitongoji na mitaa ni tarehe 14/12/2014 na si vinginevyo kwa maana hiyo hakuna uchaguzi uliofanyika tuseme ukweli tuache mboyoyo
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tanzia: CCM yampoteza Katibu wa UVCCM Arumeru Mashariki katika ajali

    Sisya tambua huyo ni mwanaadam na kila nafsi itaonja mauti kikubwa tumuombe mungu amlaze mahala pema na familia yake iwe na nguvu ya kukabiliana na hili lililotokea Inshaallah
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tanzia: CCM yampoteza Katibu wa UVCCM Arumeru Mashariki katika ajali

    Allah amlaze mahala pema peponi Amina
  13. S

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Poa 2 mbona ni ya kawaida kila ck hayo
Back
Top Bottom