MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Mwenyekiti wa kitongoji? Kweli CHADEMA sasa imegota ukingoni!
Uzushi mtupu huu..weka picha
Khaa!! Huko si ndiyo idadi kubwa ya vijana wameathirika na viroba?? Ngoja watibiwe wakipata nafuu ulevi ukiisha watajitambua tu
Uzushi mtupu huu..weka picha
Khaa!! Hii hoja au kiroja?? Ulevi mwingine banaYes, wewe umeathirika na VVU, zinduka!!
Uzushi mtupu huu..weka picha
Kiongozi, aweke picha gani? Ya kura ama watu wanaochagua CHADEMA?