Recent content by Sfrodesta

  1. S

    GE2020 Lissu nimekusikiliza mwanzo mwisho ila haujasema kwanini tukuchague wewe na sio Magufuli

    Huo ujinga na umasikini ni Nani katufikisha hapa tulipo?
  2. S

    Corona: Kutokana na kuichukulia poa, wageni wetu wafungasha kurudi makwao

    Alisema hawezi kufunga mipaka ya nchi kwa sababu nchi zinazo tegemea bandari yetu zitapata shida sasa saizi nchi hizo hizo ndio zinatufungia mipaka mfano mzuri Zambia na Rwanda Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    Serikali yatangaza bei ya kikomo ya Sukari; ipo kati ya Tsh. 2,600 na Tsh. 3,200 kwa kilo kutegemea na Mkoa

    Sisi tunaokaa mwishoni mwa Tanzania tunduma tunajua sukari ukiletewa nyumban kg 1 ni sh 2000 ukifuata dukani sh1750 kwa kg1 mnaokaa makao makuu endeleeni kununua ndo bei yake hiyo msilalamike Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    Shabiby ana mabasi 'standard' zaidi ya 200. Pesa watu wanatoa wapi?

    Acha utani kaka hakuna trailer ya super doll inauzwa million 30, utani huo Ina bei kubwa Sana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    Kwa tulioumwa mafua yale ni mashahidi tosha, nahisi ile ilikuwa ni Covid 19

    Hii Hali ilinikuta mwezi wa pili nilivyorudi kutoka Zambia, mafua yalikuwa makali Sana Sina kumbukumbu Kama nimewahi kutana na mafua ya aina ile, joto Kali Sana, kifua kubana, maumivu kooni, misuli kuuma jumulisha na kikohozi nikitumia pain killer sisikii nafuu namshukuru mungu baada ya week...
  6. S

    Kwa tulioumwa mafua yale ni mashahidi tosha, nahisi ile ilikuwa ni Covid 19

    Unapimaje na vipimo hamna wewe vp Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    Ujumbe kutoka Vodacom: Internet imerejea kama kawaida yaahidi kufidia mb's zilizopotea

    Mtandao wa hovyo huu mb 300 za kazi gani? Watu wamekula gb 2 mpaka mda unaisha wanaleta et mb 300 Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    Je, Rada zinashindwaje kuziona Drones?

    Kwani soleimani walimuulia iran mkuu??? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. S

    Iran yakataa kukabidhi Black Box kwa Boeing

    Source ya habari yako Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

    Angalia aljazeera saizi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. S

    Unataka Utajiri? Njoo Tunduma haraka!

    Duh! hatari Sana, tunduma sehem gani maana Mimi naishi tunduma na sijui kuhusu hilo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. S

    Ajali iliyoua watu 6 Dodoma: Wanaopaswa kukamatwa na kuwekwa ndani ni Mfugale na Meneja wa Dodoma wa TANROADS Dodoma, sio dereva wa lori

    Gari kubwa ni tofauti na gari ndogo hata kusimama kwake ni tofauti pia hujui alikuwa kwenye mwendo gani, Sent using Jamii Forums mobile app
  13. S

    Kwacha ya Zambia ilikuwa dhaifu dhidi ya shilingi ya Tanzania. Imekuwaje kwa sasa Kwacha ipo juu sana zaidi ya shilingi yetu?

    Mimi naishi tunduma kwacha Ina thamani kuliko shilingi tukubari tukatae maana kwacha 1 upata sh 165 kwa bei ya Jana Sent using Jamii Forums mobile app
  14. S

    Kwacha ya Zambia ilikuwa dhaifu dhidi ya shilingi ya Tanzania. Imekuwaje kwa sasa Kwacha ipo juu sana zaidi ya shilingi yetu?

    Acha uongo kwacha 100 ya Zambia sawa na 15000 sh, haishuki hapo Jana tu nimeuza kwacha 600 nimepata sh 99000, japo inapanda na kushuka Kama dollar tu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. S

    Kwacha ya Zambia ilikuwa dhaifu dhidi ya shilingi ya Tanzania. Imekuwaje kwa sasa Kwacha ipo juu sana zaidi ya shilingi yetu?

    Mimi nimetoka Jana kwacha 1 sawa na sh 165 kwa bei ya jana Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom