Recent content by severin abel

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Obama hakuonana na Rais wa Tanzania?

    Kwanini mnautikuza sana umagharibi??? Hivi toka wameenza kutupa hiyo misaada kwanini bala LA africa haliendelei? Kwanini waafrica tunawashobokea ikiwa wao hawanampango nasisi.wakitaka tuwe sawa wasimame kufanya maendeleo ya nchi zao km miaka miambili hivi huku sasa wakirudi Africa kuleta hayo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Obama hakuonana na Rais wa Tanzania?

  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wenye watoto kutoruhusiwa kufunga ndoa kanisani wakiwa wamevaa Shela

    huu uzi unanichanganya kweli nimegundua kuwa mchumba wangu ni mama wa mtoto mmoja yeye na familia yake wakati nachumbia hawakuniambia kuwa mwenzangu anamtoto afu bimkubwa wangu ndo kajua ukweli kabla yangu
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke bikra na asiye bikra

    mbona kutunza inawezekana mpaka siku ya honey moon coz haiwezi kupotea yenyewe km hutoruhusu kale kamchezo
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke bikra na asiye bikra

    kwani hizo bikra wanazitoa peke yao me nadhani tatizo ni mporomoko wamaadili ktk jamii pmj nautandawazi kutaka kujaribu kila kitu...enyi wanaume tusiwatoe mabinti bikra kabla ya ndoa tuone km bikara zitakua zakutafuta km wafanyakaz hewa
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anapenda kufanya mapenzi sana, najuta!

    kaka 3 months kila baada ya siku mbili usiku kucha! me nikajua unajuta ametoka mimba zako km 5 aaah bro u cant be serious wanawake watatutukana humu had tukome
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume kuogopa wanawake

    gari na nyumba ni indicator ya uchumi wakati wala sio maisha ya juu, mwanaume hawezi kuogopa hilo... mwanaume achoogopa nipamoja na maradhi,au tabia ya mwanamke unaweza ukakuta huyo dada anajichukulia like an angel ila kiuhalisia nikituko hapo atahisi kwa7bu anakipato cha kati wanaume...
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume kuogopa wanawake

  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume kuogopa wanawake

  10. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais asipochukua hatua tutajua yeye ndiye amegawa zile hela

    rais hawez kushughulika na tetesi leteni ushahd au pelekeni kwa hati ya dharula au weken zuio muswaada usisomwe kama utaratibu wa bunge unavyosema
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wanachama 100 wa ccm wamefukuzwa unachama kwa kugoma kumuunga mkono Magufuli.

    hawawananchi ajitokeze hata mmoja atuambie lin maguful alifika kwake akamkuta anamaisha mazuri...naje ni vp magufuli kampelekea maisha magumu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mmoja Mkenya aishtaki Serikali ya Israeli kwa kifo cha Yesu

    heee kwani ICC na ICJ zimeanza kufanya kazi kisheria wakati yesu anakufa msalabani? nijuavyo mimi sheria zakimataifa ( public international law) zimekujakuanza ku2mika baada ya yesu kufa....huyu ni bush lawyer!
  13. S

    JamiiForums Tanzania hello

    namimi nimo humu ndani ndugu zangu wa Tanzania
Back
Top Bottom