Recent content by Seuri Kaaya

  1. Seuri Kaaya

    Lowassa aitikisa Arusha, kutangaza nia ya urais Mei 24 mwaka huu

    Kama mnampangia mungu hawezi kuwa rais
  2. Seuri Kaaya

    Lowassa alifuata nini Iringa?

    Lowassa ni rais mtarajiwa wa jmt ccm inalitambua hilo, wapinzani wanalitambua hilo, watanzania wanalitambua hilo na dunia nzima inatambua hilo
  3. Seuri Kaaya

    Ukimya wa Lowassa kuna Siri nzito

    mnajua sababu ya rais wa JMT kwenda sana nje ya nchi.......waziri wake wa mambo ya nje ni dhaifu sana
  4. Seuri Kaaya

    Ukimya wa Lowassa kuna Siri nzito

    Lowassa huyo hapo anafanya mazoezi it means ni mzima wa afya.......MPOOOOOOO
  5. Seuri Kaaya

    Lowassa ashauriwa asigombee urais

    acheni undimu watu wa wama......lowassa ndo habari ya mjini
  6. Seuri Kaaya

    Lowassa ashauriwa asigombee urais

    Nyie watu wa WAMA acheni kuweweseka sana huyu mzee amewafanya nn mbona mnamtaja sana au ndo kuweweseka....Lowassa ndo mpango mzima 2015 mnaendelea kumuongezea point pasipo kujua
  7. Seuri Kaaya

    Lowassa ashauriwa asigombee urais

    penye nia pana njia inaonekana mnamuwaza sana rais wa awamu ya tano wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mhe Edward Ngoyai Lowassa
  8. Seuri Kaaya

    Lowassa ashauriwa asigombee urais

    Wakati tulio fikia sasa ni mgumu maana kila mtaka urais ana mpiga vita Lowassa kwa sababu ananguvu kubwa na hata wakiongeza nguvu kwa kuungana hawamuwezi sasa fitna lazima wapike.... Lowassa anakubalika CCM na Upinzani swali ni kwanini ..?
  9. Seuri Kaaya

    Lowassa ashauriwa asigombee urais

    Kila siku lowassa inaonekana anawaumiza sana vichwa....mnamrushia kila aina ya uchafu bila kutambua kuwa ndiye mteule wa taifa la tanzania 2015@@@@@acheni kutumika hivyo ndugu zangu yatupasa kuijenga nchi yetu na si kumchafua mtu kwa maslahi ya mjinga mmoja
  10. Seuri Kaaya

    Bonny Makene Kirusi ndani ya Ofisi ya Makamu wa Rais Tanzania

    huyu makene hana haki ya kuwa na chaguo lake?
  11. Seuri Kaaya

    Mkutano wa UKAWA/CHADEMA Arusha kesho

    atakuwepo kivip wakati yuko magereza
  12. Seuri Kaaya

    Nimefungua insurance agency wadau

    Njoo ufungue tawi manyara mkuu
  13. Seuri Kaaya

    My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

    Mdudu le mutuz kwa maono yako nani anayefaa kuwa rais wa Tanzania? Lowasa ni chaguo la wananchi wa Tanzania
  14. Seuri Kaaya

    Hatimaye wananchi wa Halmashauri ya Meru waamua kurudi kundini!

    Source na vijana wenye uchungu na nchi yao,ukumbuke Nasary ni muongeaji na sio mtekelezaji mambo yote yako chini ya chama tawala cha mapinduzi,mkawaulize wana katiti watawaeleza ukweli halisi Na mboni tenumbua ntika lee nuuri ndi akamu kushishi ndi mimi sio mwenyej wa katiti mimi...
Back
Top Bottom