Sumaye Fredrick asisahau haya wakati wa utawala wake

Sumaye Fredrick asisahau haya wakati wa utawala wake

sasa mmeamua kuchafuana wenyewe kwa wenyewe, baada ya lowassa ni sumaye, mkitoka kwa sumaye sijui nani atafuata, ama kweli kaskazini haitatoa rais 2015

kwani urais wa tz ni wa kikanda?popote pale atakapo jitokeza mtz mwenye uwezo wa kutamka jambo la kitaifa kulisimamia wacha awe rais.hatutaki rais wa vijembe.tunaka rais mwenye uwezo wa kutamka jambo wazi na si vijembe vya jukwaani.we vipi?
 
Sumaye alikuwa ni dictator,alikuwa anajifanya mkali ,asikilizi watu,anapokea majungu na hayafanyii utafiti,kafukuza watu kibao kazi serikalini wasio na hatia,mfano maofisa wa Polisi 05 Sumbawanga mwaka 1999,ni bora mara mia Lowasa awe Raisi kuliko huyu Sumaye.

ni bora akaendelee na diploma yake huko marekani maana alijiwekea hadi pensheni kabla ya kustaafu, huko anaibua machungu ya watu tu! Jimboni kwake alikataliwa siku nyingi' anababaika na chama cha upinzani badala abadili na jina kabisa na sura abadili awe siyo sumaye tunayemdai matrilion
 
1,000,000,000,000
au kama zile PSPF inaidai serikali mara 6. Wakati ule uhuru wa habari haukuwepo' was ver possible to make trilion' hata kama ilikuwa bilion ya wakati huo kwa sasa ni trilion.

Unaonekana wazi kuwa una matatizo yako binafsi na sumaye.

1. Huo upuuzi wa matrilioni ulishakanushwa siku nyingi na gazeti lililoandika liliamriwa limlipe fidia na mahakama. Unless unaongelea matrilioni mengine. Pili nimekuuliza makusudi kama unafahamu ukubwa wa trilioni. it is quite impossible kuiba trilioni serikalini cash, halafu ukaifiche wapi? Hebu lete ushahidi ni lini bajeti yetu ilipungua by a whole trilion, au ushahidi wowote ule wa kuthibitisha fedha kubwa namna hiyo.

2. Sumaye alikwenda kusoma Harvard University na alifanya masters of public administration mwaka 2006. Thibitisha kama alikwenda Marekani kujificha.
 
wewe sumaye acha ubishi maEPA, maKAGODA, maMRAMBA, maMGONJA, maMAJENGO PACHA YA BOT, maMEREMETA, maAFGEM, kote umo. Kwenda kuhonga gazeti ujisafishie hapo, huo ni usanii. Hapo AFGEM tu mlivuna matrilion mmeacha mahandaki kule tu! Hiyo degree ya mwaka! Mmh? Kwanini usisome UDSM kama Magufuli?
 
sumaye hamna kitu, alikuwa kimya mia
ka yote tarehe zimekaribia ameibuka, lowasa kibpko
 
wewe sumaye acha ubishi maEPA, maKAGODA, maMRAMBA, maMGONJA, maMAJENGO PACHA YA BOT, maMEREMETA, maAFGEM, kote umo. Kwenda kuhonga gazeti ujisafishie hapo, huo ni usanii. Hapo AFGEM tu mlivuna matrilion mmeacha mahandaki kule tu! Hiyo degree ya mwaka! Mmh? Kwanini usisome UDSM kama Magufuli?

kwa hoja za kipuuzi kama hizo tufanye umeshinda!
 
Sumaye asisahau alishaondoka Tanzania akaenda Marekani kujificha, ikawa inaripotiwa alikwenda kusoma, wakati alikuwa akituhumiwa juu ya ufisadi wa matrilion, Sumaye aliikana hotel ya Mount Meru aliyojimilikisha wakati akiwa waziri mkuu.

Sumaye aliua NAFCO, sumaye alichangia kumfilisi SAWAYA wa Moshi!

Leo hii anajipenyeza penyeza tu na kuongelea ufisadi wakati matrilion kayaficha huko.

Yalete na wewe utoe kwa wanajamii kama ni ya halali wala hakuna atayekuuliza.

bange za arusha ol kokola zinawadatisha sana vijana, ,hizo tuhuma unaweza kuzidhibitisha,
 
Mleta topic-"heri utumwa wa kujituma,kuliko utumwa wa kutumiwa"-shame on you.
 
Mleta topic-"heri utumwa wa kujituma,kuliko utumwa wa kutumiwa"-shame on you.

kama umezaliwa kipindi cha Jakaya huwezi kuyajua haya. Subiri nikuwekee picha.
 
Back
Top Bottom