Recent content by Seth seth

  1. S

    Kocha Fadlu umefedhehesha brand ya Simba, hukupaswa kusema Yale kwenye vyombo vya habari pengine na wewe umechangia kutuangusha

    Kwa ubishi wenu wa kutokubali kwamba mna kikosi kibovu natamani Mendeleev na ubishi huo huo tuwakande 10 times back to back
  2. S

    Huyu mdada kanipenda au ananionea huruma tu?

    Unasoma darasa la ngapi
  3. S

    Tamisemi ni miezi miwili hawajatuma fedha za elimu bila malipo mashuleni

    Hali si shwari huko mashuleni ambapo inadaiwa kwa miezi miwili serikali haijatuma fedha za elimu bila malipo . Wazabuni, walinzi na watoa huduma mbalimbali mashuleni wanadai malipo yao huku walimu wakuu wasijue la kufanya.
  4. S

    Msikiti uliokuwa unatumika na Al-Kawthar na jengo la makazi kusini mashariki mwa Khan Younis waangamizwa

    Ifike pahali wafilisti wakubali kwamba hawawawezi wayahudi. Hii Vita tunaiona mwilini lakini ukweli ni kwamba iko katika ULIMWENGU wa roho. The only solution ni wafilisti wanyanyue mikono juu na kusurender .
  5. S

    Tumbo linawaka moto kama kuna maji ya kuunguza yanamwagwa tumbo

    Tumia maji ya mwamposa utanishukuru baadae
  6. S

    Nikiwa kwenye tendo lile bao la pili linachukua muda mrefu mno kiasi cha kunitia hofu

    Wenzio mbona tunakojoa Hadi Mara Saba ndani ya usiku mmoja. Kama unabisha kamuulize yule dadaM
  7. S

    Kugombaniwa na wanawake kwangu ni kawaida sana

    Mimi nagombaniwa sababu najua kupiga show kibabe hata wao huwa wananieleza kwamba hawajanipendea kingine tofauti na show show
  8. S

    Nimevurugwa nimepata supplementary masomo matatu

    Hivi Kuna watu bado wanasoma?
  9. S

    Taaluma mkoa wa Kagera inaporomoka kwa kasi ya ajabu

    Mkoa wa Kagera ni miongoni mwa mikoa michache hapa nchini iliyojijengea heshima kubwa katika utoaji wa elimu Bora na wataalamu wengi katika fani mbalimbali. Ndiyo maana hata Sasa hivi ukimuuliza mtanzania yeyote akutajie mikoa inayoongoza kuwa na wasomi wengi lazima Kagera ni mkoa mmojawapo...
  10. S

    Nakuchukia Baba yangu

    Baada ya kufika hapo ulipo umefanya jitihada gani za kujikwamua kiuchumi? Au bado unaendelea na kazi ya kumchukia baba yako Hadi kufa. Inuka simama peke yako lawama na chuki kwa baba yako hazitakusaidia chochote.
  11. S

    Nategemea hii ndio itakuwa story ya mwisho kuileta humu kumuhusu huyu mwanaume

    Huyo ni kama Mimi kabisa.kuna demu wangu nampenda Sana Ila huwa simtafutagi Mara kwa Mara inaweza kupita hata siku 4 hatujawasiliana. Mwanzoni alikuwa hanielewi kabisa Ila baadae akaja kunielewa. Uzuri siku tunapokutana faragha huwa nampelekea Moto Hadi anaomba poo! Na Hilo ndo huwa linamfanya...
  12. S

    Ndoa yangu ina hali tete

    Hujamwelewa. Inawezekana uzee wako upo kitandani. Mpelekee Moto wa uhakika Hadi wale bodaboda wanaomdanganya aanze kuwaona wao ndo wazee
Back
Top Bottom