Recent content by sesesco

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hali ya Mabere Marando

    get well soon marando
  2. S

    JamiiForums Tanzania Marudio ya ITV ya mkutano wa UKAWA Mwanza

    kweli hiyo video shooting haikuwa balanced hadhira imeonyeshwa mara chache na picha inacheza cheza
  3. S

    JamiiForums Tanzania Bulembo ahatarisha amani ya nchi, achukuliwe hatua!

    hizo kauli za bulembo ni za kichochezi,zitampeleka ICC-The hague,ni suaLa la wakati tu
  4. S

    JamiiForums Tanzania LAPF acheni ubabaishaji na usanii kwenye ajira zenu

    haya ndio maeneo yanahitaji KUFANYIWA MABADILIKO na ambapo serikali ya awamu ya tano inatakiwa kuanza nayo,haiwezekani mambo ya kihuni kama yalivyoelezwa hapo juuyaendelee kuvumiliwa katika ofisiza umma mtu anafanya usanii hata mtoto wa darasa la pili anaona hayo ni mazingira ya kubeba...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mazishi ya Mohamedi Mtoi, Lushoto - Tanga

    Rip kamanda mohamed mtoi
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    slaa kwa hili la leo,umepoteza mvuto kwani umepoteza focus
  7. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO wamekata Umeme sehemu kubwa ya Nchi ya Tanzania, leo 29th Aug 2015

    pugu umeme umekatwa toka saa 3 asubuhi
  8. S

    JamiiForums Tanzania Laurean Rugambwa - Mkurugenzi Mkuu wa MSD Mteule wa Rais

    inawezekana laurean Rugambwa ndo ameonekana bora kuliko waliopita kwenye chujio la hiyo nafasi,kumbukeni nafasi kama hiyo ni nyeti kwa hiyo kuna habari ya maadili n.k.Pengine,HuiHui atueleze alimtaka nani ili nao tuwajadili kama laurean lugambwa.Vilevile,kuna tetesi kuwa hapo MSD kuna mwingine...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Laurean Rugambwa - Mkurugenzi Mkuu wa MSD Mteule wa Rais

    hilo ni dua la kuku,laurean Rugambwa jipange uripoti haraka MSD ili ukawa-prove wrong hao ambao hawalali usiku na mchana wakitafuta hiyo nafasi
  10. S

    JamiiForums Tanzania Laurean Rugambwa - Mkurugenzi Mkuu wa MSD Mteule wa Rais

    Huihui naona hapa unatumika na unapiga majungu tu,Kwani kuna shida gani kwa mtu ku-handover kwa miezi miwili,katika taasisi nyingi managerial levels huwa wana-handover na kutoa notice period ya miezi mitatu ili kuweza ku-groom vizuri sucessor wa hiyo position.funguka tujue vizuri shida yako ni...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    mimi ni mtumiaji wa Vodacom kwa zaidi ya miaka kumi sasa,lakini majuzi tarehe 7/6/2015 vodacom wamekomba salio langu la Airtime Tsh.113,000/= kwa nusu saa kwa kisingizio cha internet eti kwa sababu nilikuwa sijajiunga na kifurushi chochote cha internet(hayo majibu ni kwa mujibu wa mtu wa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania ufisadi

    jamani chanzo cha ufisadi ni nini?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi nchi za nje

    wewe copenhagen mwambie ukweli huyo anayetaka kupiga box kuwa living standards hapo denmark ipo juu sana kiasi kwamba hiyo tsh.48,000 ukiibadilisha kwenye danish krone kimatumizi hakuna chochote cha maana utapata,mwaka 2013 niliwahi tembelea copenhagen nikafikia hotel moja city centre astoria...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

    :smile-big::smile-big:
Back
Top Bottom