Ila huyu jamaa baada ya kufuatilia maelezo yake kwa undani, nimegundua alikuwa fighter na asiyekubali kushindwa kirahisi.R.I.P Deo Filikunjombe
Ila huyu jamaa baada ya kufuatilia maelezo yake kwa undani, nimegundua alikuwa fighter na asiyekubali kushindwa kirahisi.
Alafu nasikia kuwa alikuwa anashikilia taarifa nyingi na muhimu juu ya sakata la escrow hasa zile za viroba na sandarusi! R.I.P
Aliusoma upepo ikabidi aachane na wahuni kwa mda ..natania jamani.
Ila huyu jamaa baada ya kufuatilia maelezo yake kwa undani, nimegundua alikuwa fighter na asiyekubali kushindwa kirahisi.
Alafu nasikia kuwa alikuwa anashikilia taarifa nyingi na muhimu juu ya sakata la escrow hasa zile za viroba na sandarusi! R.I.P
Umofia kwenu wana JF!
Huyu kamanda nakumbuka pale Kinondoni alituthibitishia kwamba kura hazitaibiwa na yeye mwenyewe atatangaza matokeo ya uchaguzi mapema kabisa kabla hata tume haijatangaza.
Ghafla tunakuja kusikia jamaa hali yake ni mbaya anaumwa na kapelekwa India kwa matibabu zaidi.
Leo imebaki wiki moja tuingie kwenye uchaguzi mkuu na bado "mtangaza matokeo" wetu hatujui hali yake wala hatumsikii tena.
Anaendeleaje huko india?
Wakatabahu!!
Kura Linda za udiwani na ubunge, kuhusu urais hizo ziko salama kabisa..! Rais ni Magufuli.cdf hasikiki itakuwa comandor Marando? Wananchi tujipange kulinda kura zetu...
Umofia kwenu wana JF!
Huyu kamanda nakumbuka pale Kinondoni alituthibitishia kwamba kura hazitaibiwa na yeye mwenyewe atatangaza matokeo ya uchaguzi mapema kabisa kabla hata tume haijatangaza.
Ghafla tunakuja kusikia jamaa hali yake ni mbaya anaumwa na kapelekwa India kwa matibabu zaidi.
Leo imebaki wiki moja tuingie kwenye uchaguzi mkuu na bado "mtangaza matokeo" wetu hatujui hali yake wala hatumsikii tena.
Anaendeleaje huko india?
Wakatabahu!!
Ya kweli haya!!!!!Ila huyu jamaa baada ya kufuatilia maelezo yake kwa undani, nimegundua alikuwa fighter na asiyekubali kushindwa kirahisi.
Alafu nasikia kuwa alikuwa anashikilia taarifa nyingi na muhimu juu ya sakata la escrow hasa zile za viroba na sandarusi! R.I.P
Kwa nini sisi binadam tunafurahia mauti ya binadam mwenzetu. Huu si uungwana. Utu ni zaidi ya hizi siasa. Nimeshangaa watu wanafurahia hata kifo cha filikunjombe ala!! Ivi tumelaaniwa. Eti kisa siasa.
R.I.P Deo Filikunjombe