Recent content by Sergio Jr

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi 11 afariki Dunia baada ya kulazimishwa kula mchele

    yawezekana mtoto mwenyewe ndio aliye kula mchele baada ya beki 3 kumuachaniza karibu na mchele sizan kama alimlisha ila hakuwa makini kumchunga
  2. S

    JamiiForums Tanzania Maisha katika nyumba za kupanga

    hhhhhhh
  3. S

    JamiiForums Tanzania Maisha katika nyumba za kupanga

    mhh
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    YAANI UZI UMEPOA SANA WADAU SIO KAMA MWANZO , UZI UMEFUBAA TATIZO NINI ..KUNA YULE JAMAA ALIE KUWA ANABET MILIONI MILIONI NA ANAPIGA PESA YA MAANA KUNA WAZEE WA KUSPIN BADO WALE WA MABEHEWA WALIKUWA WANAMOTIVATE SANA LAKINI NOW HAWAONEKANI KABISA..... MKO WAPI NJOONI TUMFILISI KANJI ALUDI KWAO INDIA
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kitabibu katika tatizo hili la fangasi mdomoni

    Mimi ni kijana mdogo tu 20s naishi mpanda nimepata tatizo. la fungus sugu mdomoni zinazo sababisha ngozi ya lips kukauka na kubanduka kwa takribani miaka 5 sasa nikienda kwa madaktari wanasema tatizo ni dogo sana hata specialist wa ngozi alinipa Vaseline tu kila aina ya dawa nimetumia matokeo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ,hiiiii xpin tu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    KUBET KWELI BAHATI UNAKUTA UMEMPA MAN U UKAWEKA 50K . UKAFIKILIA KIDOGO KUMUONGEZA PSG AMA BAYERN ILI KA HELA KAONGEZEKE KIDOGO NDIPO UTAPOGUNDUA MAHARAGE SIO MBOGA, KUNA JAMAA HAPA KAWEKA CORRECT SCORE BAYERN APIGWE 2:1 AKAONA AWEKE NA NYONGEZA YA WATFORD V PALACE OVER 0.5 KILICHOMKUTA KILA...
Back
Top Bottom