Recent content by senkoP

  1. senkoP

    Wachawi

    Ni kwanini watu wachawi huwa wanajifanya wana upendo sana? Utakuta kama ni kanisani/ Msikitini wao ndio mstari wa mbele kuhudhuria ibada zote, kutoa michango mbalimbali , kukarimu wageni hapa kwenye kukarimu wageni huwa mstari wa mbele hata kama kumeshapangwa Shekhe au Mchungaji atakula wapi...
  2. senkoP

    Kuharibika kwa nyumba

    Jamani wandugu hivi ni kwanini unaweza kujenga nyumba ya kuishi ikawa iko tayari kwa matumizi au nyumba ulikuwa unaishi halafu ukaondoka kwa muda mrefu bila mtu kuishi kwenye ile nyumba huwa ina haribika ?? Kuna sayansi gani hapo ?? Kuna ofisi tumejenga ikaisha ila hatujahamia humo kwasababu...
  3. senkoP

    Nimepewa mechi nikashindwa kusimamisha

    Jamaa ana andaa kirusi dakika 40 ili kimuingie vizuri....sasa ulifanyaje fanyaje?? Mlikuwa una muogesha nini na kufanya massageging? Haya imeku cost na kwa uzoefu wangu kumpata huyo bint kwa mala nyingine haitokuwa rahis ww subir publication
  4. senkoP

    Wabobevu wa mikopo naomba msaada wenu hapa

    Fanya hivi, andika barua kwa meneja wa bank hiyo unayotaka kuchukua mkopo mueleze ulikopa Songesha ama tigo eleza sababu zilizokufanya usilipe huo mkopo huko songesha kwa wakati na andika huo mkopo unaotaka kukopa sasa utaulipaje kwa wakati, ambatanisha na muamala ambao unaonesha umemaliza...
  5. senkoP

    Innocent Mungy: Wanapiga picha majina katika Nyumba za Kulala Wageni kisha wanaenda kufanya utapeli

    Hizi vocha za kurushiwa pia inachangia kwa kiasi kikubwa na wasajili lain za simu. Naona Tanzania kupata lain ya simu ni rahis sana kuliko nchi nyingine yaani mtu mmoja anaweza akawa na lain hata 20 without any problems hii pia ni shida...kuna nchi kama India sio rahis sana kupata lain kwa...
  6. senkoP

    Uhamisho wa Watumishi Serikalini kuwafataa wenza wao

    Ni muda mrefu sasa tangu serikali itoe tangazo kwa watumishi wanaotaka kuhama kufata wenza wao lakini mpaka sasa kimya. Labda kama kuna mwenye majibu kuhusiana na hili naomba atoe ufafanuzi kwani ndoa za watu zinaharibika migogoro inaongezeka kwenye familia. Sijui tatizo liko wapi mpaka sasa...
  7. senkoP

    Je, ulikuwa unalijua hili kuhusu Wachawi?

    Uongo wachawi wote wanajifahamu. Huwez kuwa mchawi usijue......ila kuna watu wanatumikishwa kichawi pasipo wao kujua lkn wao sio wachawi.....
  8. senkoP

    Kuna Majogoo wa Jirani wanawika Saa 6 hii ya usiku je ni Majogoo kweli au ndiyo wale Ndugu zetu?

    Majogoo yote yenye muunganiko na kisasa yaani chotala au majogoo ya kisasa broiler hayana muda maalum hata saa mbili usiku linaweza kuwika baada tu ya kubarehe. JOGOO wale wa asili kbs mbegu ya kienyeji mwenye maadili hawezi kuwika saa sita usiku hata kidogo....ukiona jogoo wako anawika saa sita...
  9. senkoP

    KERO Zoezi la uhakiki wa taarifa NMB

    Hata uko uliko enda ni usumbufu tu ndugu
  10. senkoP

    KERO Zoezi la uhakiki wa taarifa NMB

    Exactly ni wapuuzi. Eti mtu kafungua account hajamaliza hata mwezi una hakiki , una hakiki kitu gani??? Some time nikupotezeana muda tu. Mambo ya kizamani sana .....Nmb badilikeni otherwise mtakosa wateja ....kama mnafanya utafiti watu wengi wana kimbia Nmb kwasababu ya usumbufu
  11. senkoP

    KERO Mfumo wa Ajira Portal unatutesa, mamlaka husika ifanyie kazi changamoto hii

    Anachokisema ni kweli. Huwezi kubadilisha documents .....ni shida ...kwa mfno mimi mwaka juzi niliweka vyeti ambavyo havikuwq verified kwa mwanasheria, Mwaka huu nimeverify sasa nataka nitoe vile vyet ambavyo havijakuwq verified haiwezekani kbs . Ni shidq
  12. senkoP

    Je, ABC bank wanatoa mikopo Kausha damu? Nimestaajabu sana

    NBC pia wana tabia hii. mwezi lzm ufike na kupita
Back
Top Bottom