Mh. Bashe umefilisika kifikra, usikubali kutumiwa kama kikaragosi. Wewe ninavyokufahamu hata kama una njaa usikubali kutumiwa namna hii. una bright future ahead of you.
Unamatatizo ya upofu wa kutoona ingawa unamacho, Rais anapoenda nje ni sehemu yake ya kazi. Sasa ukienda kule kwenu unapita barabara ya lami, katiba mpya inakuja, shule kila kata ingawa zinatakiwa kuboreshwa zaidi lakini zipi, Elimu vyuo vikuu zaidi ya 20 nchini, tatizo la Waalimu kikomo 2014...
Angalia data za Dunia nenda The Economist - World News, Politics, Economics, Business & Finance au jarida la Internationa Economic and Intelligence agency. Pia Eurozone economic report
Nimependezeshwa sana hatua Waziri wa mambo ya Nchi za Nje Mh. Bernard Membe anazozichukua zidi ya Malawi kuvamia eneo letu la Ziwa Nyasa. Non-Violent Approach as first option. Ameedhihirisha upevu wa kisiasa na Diplomasia ilioyobobeya. Hili ni faida kwa taifa. maana vita haitatuwi tatizo lolote...
Wanajamvi nimeona leo tujadili mazuri ya CCM ambayo wameyafanya ili tuone upande mwingine wa shilingi maana hapa kila kitu kina pande mbili.
1. Uomoja kitaifa
2. Amani na Utulivu
3. Kuondoa udini
5. kuukema ukabila
6. Daraja la Kigamboni coming soon
7. kukubali upinzani
8. Ujenzi wa nyumba za...
Chadema ruzuku milioni 400 kila mwezi, zinatumika vipi Chadema haina ukaguzi Ludovick atakuja kuwakagua. mmepoteza mwelekeo kwa hanasa Mashangingi na kulindana na kusahau malengo.
Wewe haya maendeleo unayoyapinga kila siku huwezi kuyasimamisha aibu zako zote nje nje subiri muda wako ufike. Unalinganisha kunde na nguo, hizo suti zako zilizo kubana peleka kwa fundi na ukakate hizo ndevu zako.
Ushauri mbaya wa mpenda sifa Omy Mjenga baada ya kupewa kazi Sierra Leon akaanza kumkaanga mama yetu hadi kumletea shida. Ukipewa kitengo fanya kazi sifa majigambo hayakusaidii kijana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.