Recent content by Seniorng'witampango

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi mkuu, Serikali imetoa kanuni za Matangazo ya kisiasa

    4. Tetesi za wao kunyimwa viwanja wa jangwani ili kufungulia kampeni zao kinanyima fursa ya haki na usawa kwenye masuala uchaguzi 5. Kitendo cha lowasa kuzuiliwa kujichanganya kwenye jamii kwa kutumia usafiri wa daladala eti sababu za kiusalama zikitajwa. 7. Majimbo zaidi ya sita mfulilizo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi mkuu, Serikali imetoa kanuni za Matangazo ya kisiasa

    1. Baada ya mafuriko yao ya Mwanza kujibiwa siku ya uzinduzi wa kampeni, kama wenyewe waitavyo EL nino. 2. Baada ya Magufuli kueleza sera zake kwa ufasaha, tena kwa upembuzi yakinifu huku akieleza bila kukashfu upande mwingine, akidai yeye ni rais wa cdm, act,ccm,tlp na hata wasio na vyama. 3...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi jamani

    waiter ok!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ufumbuzi wa tatizo la bili kubwa ya umeme huu hapa

    Asante mkuu kwa mawazo mazuri ya fikira za ukombozi katika gharama za umeme.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Airtelmoney,bure yenu isiwe kigezo cha kutukomoa!!.

    Jamani wana jf,nimetuma hela kwa mdogo wangu 15,000/= Kujaribu kutoa. pin yake wakadai sio sahihi,wakati anatumia hiyo mda wote!hatimaye akaunti wakaifunga.akawapigia ili waifungue mara wanasema subiri masaa24,mara fika airteshop..hatimaye nikaamua kuiomba kama niliyekosea namba,mpaka leo siku...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mtei amuangukia Zitto Kabwe, adai ni mwanasiasa jasiri

    We as the god wish,and in god is all we trust.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Kafulila kuanzisha kituo cha Redio

    Jamani nani ana ushahidi wa wabunge hawa kushare mke mmoja?
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo Wangu wa Kike Kajichora Tatoo, Mapajani na kwenye Bega..

    Sasa!tatizo liko wapi la tatoo au umri fafanua !
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo Wangu wa Kike Kajichora Tatoo, Mapajani na kwenye Bega..

    Sasa!tatizo liko wapi la tatoo au umri fafanua wake!
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mume

    Mimi nisikudanganye. Maana mimi bado mwanafunzi.baba akinisikia nimekukubalia.ataniotesha ngeo
  11. S

    JamiiForums Tanzania Maajabu 10 katika msiba wa Nelson Madiba Mandela ambayo ahayajawahi tokea Duniani Kote.

    mandela ni mmojawapo aliyepata kusifika tangu historia za dunia hii kusikika masikioni na machoni mwetu."as the way you know is true, is the way you near to loose the truth"
  12. S

    JamiiForums Tanzania Msomi ni nani

    utamtofautisha vipi msomi lakini masikin,na tajiri ambaye hajasoma?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Msomi ni nani

    Sasa nimeanza kuelewa nini maana ya kuwa MASIKINI!
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii inaweza kuwa dalili ya uchoyo au ubinafsi ???

    Kwa upuuzi huu wa mleta mleta maada sioni hata cha kupost
  15. S

    JamiiForums Tanzania Msomi ni nani

    Unasoma ili upate ajira hupati,mtu hana hata cheti anakuwa meneja,maana yake nini?
Back
Top Bottom