Hilo swala unataka kuwa key client wa agricultural products au uwe supplier ama vendor, ukianza kama unavotaka ndipo utakapoona faida na pesa, usitafte mtu wa kukununulia bidhaa, tafta soko mwenyewe, kuna makampuni yanatafuta watu kama wewe logistics zote juu yao, lima dengu ufuta mbaazi karanga...
Kwa watumiaji na wafanyabiashara wa karanga
Tunawakaribisha Segese, Kahama, kwa Adam Piniel Posho Mill. Tunapokea karanga kutoka kwa wakulima na kuuza kwa bei za jumla zikiwa safi na kavu.
Fursa kwa vijana na wafanyabiashara
Tunayo mashine ya kisasa ya kukoboa karanga kulingana na mahitaji ya...
Habari wanaJF,
Natamani ningepata mtu wa kunitengenezea application au system ya watu kujifunza lugha mpya za kibantu na zile za zisizo za kibantu.
Kwa yeyote anaeweza kuandaa mfumo kama huu ukafanya kazi kwa mifumo ya sauti na maandishi
Namna ya watu kutamka maneno pia kuyaandika.
Mfano mtu...
Ulifuta chat zote au ulibadili simu uka download Whatsapp app upya?? Kama hvo basi jaribu kufanya back up kwa email ilokuwepo, ila kama haukua unafanya back up either daily weekly or blah blah, then sorry
Habari wana jf
Nina complain moja kutoka kwa rafiki yangu
familia ilipoteza baba mzazi na walikua wana mradi wa mashine ya kusaga nafaka iliyosajiliwa kwa jina la kibiashara na kulipa ushuru na TAX CLEARANCE KILA MWAKA NA MAKADIRIO YA TRA pia baba alikuwa mzabuni katika shule...
Habari wana JF,
Ninaomba kufahamishwa kuhusu mahitaji ya application ya international passport na visa, katika vipengele hivi,
Mahitaji muhimu
Kiasi cha fedha katika process yenyewe
Muda wa kukifatilia na muda wa kukipata
Ofisi gani zitanisaidia kwa haraka na namkuta mtu wa cheo gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.