Mzee wa matamko leo amesema mtu akikutwa msituni apigwe tu, nimemtafuta mama yangu kwenye sim sijampata ili nimpe taarifa asiwe anaenda tena msituni kulokota kuni
Fanya mamzi magum %99 inaonyesha condom mwanaume utumia kwa kipindi cha kwanza tu ila wakishakuwa na mausiano yanayo zidi wiki moja swala la condom sahau. Kama utamua kujitoa mwanga kama wanachama wa Boko haram endelea kuishi nae
Siku ile nilisema anandamwa na msimu wa yule mzee alie fiya jukwani kwani walikuwa madui wakubwa sana, acha afundishwe adabu alidhani pesa yake itamsaidia kumbe heshima ni bora kuliko pesa
Hili swala la vat sesikali itoe elim yakutosha kwa raia wake juzi nilienda kulipia bima ya chombo cha moto nikataka kulipa kama mwaka jana nikaambiwa eiti kuna hongeseko la %18 ya pesa ninayolipa chakushangaza hilo shirika la bima ni la serikali.
Ukija upande wa benk hali bado sitofahamam TRA...
Ila ajue amebakisha miaka 3 wezetu kenya wanakosa nafasi za kuwaweka watalii wanawagiza waende africa ya kusin.
Ushauri wangu kama raia wa tz nibora kutoa vat upate mapato mengi kuliko kuweka vat mapato kidogo
mkitaka kuamini tazameni bandari mtapata jibu
Labda mimi nilielewa vibaya naombeni ufafanuzi.
Nilijua labda ukienda benk ukitoa m 1000000 unakatwa 180000 kama %18 ya pesa ninayotaka kuchukua au hapo imekaaje?
Ukweli huyu rais wetu nashindwa kumwelewa. Ninafyo faham kwa elim yangu ya drz 7 kauli ya rais au ya malikia nikubwa kuliko kauli nyingine yeyote Duniani lakini kwa hili rais wangu sidhani kama analiwona. Jana atae endesha gari kwenye brbr ya mwondo kazi gari lake lifunguliwe watairi
Waliyo...
Hakuna jambo baya na lenye lawama kama kufanya kazi ya nyumbani kwako au kuajiriwa na Baba yako. Kumfungulia mashitaka Baba yako nidhambi kubwa sana kumbuka bila yeye wewe usingekuwepo. Jitahidi kumsamehe angaliya fruza nyingine kwa marafiki zako uwanse maisha mapya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.