Abunuwas was the great...zipo nyingi sana hadithi zake na zilikuwa na mafunzo kweli...
Kuna moja abunuwas nyumba yake iliungua moto,akifikiria atafanyaje na yale majivu ya nyumba yake akapata jibu,akayapakia magunia kibao ya majivu kwenye punda akafanya safari ya kwenda nchi ya mbali, kufika...