Recent content by SEMKIWA3

  1. SEMKIWA3

    JamiiForums Tanzania Kwanini cement zinapewa majina ya wanyama Tanzania?

    mkuu Sungura cement,kipo Tanga
  2. SEMKIWA3

    JamiiForums Tanzania Handsome and beatiful the time is here

    leo kaamua kutafuta vibenteni vya age ya 22
  3. SEMKIWA3

    JamiiForums Tanzania UGONJWA WA DENGUO

  4. SEMKIWA3

    JamiiForums Tanzania UGONJWA WA DENGUO

    Habari zenu wanaJF. Niende moja kwa moja kwenye mada,ugonjwa wa denguo ni ugonjwa ambao umekuwa tishio sana kwa sasa hapa nchini hususani maeneo ya Dar es salaam na Tanga. Ugonjwa huu ulikuwepo tangu awali lakini kwa sasa umekuja kwa kasi mpya zaidi kiasi cha kuenea hadi mikoani,kama ambavyo...
  5. SEMKIWA3

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Serikali ya wanyonge?

    thanks sana mkuu
  6. SEMKIWA3

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Serikali ya wanyonge?

    mbeya 1
  7. SEMKIWA3

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Serikali ya wanyonge?

    mbeya 1
  8. SEMKIWA3

    JamiiForums Tanzania Uvaaji mavazi sahihi wakati sahihi na sehemu sahihi ni Tatizo

    mkuu nahisi wewe hujawahi kuwaona wanakondoo ambao ni wanasesere wakitoka au kwenda kanisani,dada zetu wengi wanavaa shortdress siku hizi wakienda ibadani. By the way naweza kusema katika imani zetu out of waislamu sisi dini zingine za hapa bongo land bado hatuna misimamo dhahiri kuhusu nidhamu...
  9. SEMKIWA3

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa kitaifa:Serikali isitishe udahili vyuo vikuu kozi ya Bachelor of arts with Education.

    Umesahau kuwa vyuo vikuu ni biashara,hata wewe unaweza kuanzisha cha kwako na ukapata faida chini ya taratibu zilizoweka na tume ya vyuo vikuu na serikari.
  10. SEMKIWA3

    JamiiForums Tanzania ONYO LA MIFUKO YA PLASTIKI

    Habari za leo wanaJF. Ni siku kadhaa zimepita sasa tangu serikari yetu tukufu ya Tanzania imetoa onyo la kusitishwa kwa matumizi ya mifuko ya plastiki na nailoni.Hili ni jambo jema kabisa kwa faida ya jamii yetu ya sasa na vizazi vijazo.Pia niunge mkono juhudi za serikari yetu katika kufanya...
  11. SEMKIWA3

    JamiiForums Tanzania Nimeota kuwa kuna tukio kubwa la kitaifa linakuja

    mkuu umesahau kuwa taifa linaisubiri jumapili kwa hamu
  12. SEMKIWA3

    JamiiForums Tanzania Nimeota kuwa kuna tukio kubwa la kitaifa linakuja

    mkuu hakika ndoto yako ipo sahihi,maana taifa letu linategemea siku ya jumapili ijayo kuwa na mtafaruku mkubwa na harakati za hapa na pale kuanzia kwenye kanisa la baba Askofu. Nawasilisha
  13. SEMKIWA3

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mama mzazi wa mwanachama mwenzetu August hatunaye tena

    r.i.p dear mama
Back
Top Bottom