Recent content by semindu50

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mbona malezi ya mtoto wa kike kwa mkoa huu yanatia shaka,.?

    hata huku mwanza nilipo kuna case kama hizo nyingi tu pale hospitali ya mkoa, hayo siyo malezi ya songea tu bali tatizo lipo nchi nzima hasa kwenye familia zenye kipato cha chini na elimu ndogo
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kubali kataa,,Malecture wa UDSM, Ardhi na DIT wanashinda St Joseph

    malecture au lecturers.!?, kweli wewe elimu haijakukomboa, ina maana akitoka UD au DIT kwenda kufundisha st. joseph ni tatizo, unawafaham flying lecturers wanaosafiri dunia nzima kutoa lectures kwenye different universities duniani.!? kwahiyo wewe ukaona hao wananjaa sana eehh wakati hiyo ndo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Uume kuwa mdogo sana wakati umelala na kuwa mkubwa ukisimama

    kuna aina mbili za dushe, shower na grower, hii grower ina kawaida ya kuwa ndogo sana ikiwa haijasimama lakin ikisimama huongezeka kwa karbu 75% ya umbo lake hivyo huwa kubwa vzur tu, na hii shower yenyewe ni huonekana kuwa ni kubwa ikiwa imelala hivyo inaposimama huongezeka kidogo tu kufikia...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wale tuliosoma Kibasila secondary.

    ulikuwa pale mwaka gani mkuu, nmeondoka 2007 form 4 pale, nakumbuka sana safar za mchikidown kwa kina mbuga hidden moddy
  5. S

    JamiiForums Tanzania Top 5 ya viongozi wenye vitambi/matumbo ya ajabu tz

    didas ma------
  6. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza Baraza Kivuli la Mawaziri Jipya 2014 likihusisha vyama vingine!

    mweeh sugu nae waziri kivuli, ina maana hawa ndg km wangekuwa madarakan ndo baraza lao la mawaziri lingekuwa hivyo.!!? kwi kwi kwi teh teh teh kwl hawa bado sn
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tosamaganga sekondari... Kufungwa

    old mandela ndilo jengo bovu pale cz kuna wing moja km ckisei left wing ilifungwa kitambo tu kwasababu ya nyufa kubwa zilizojitokeza ukizingatia ni ghorofa, niliondoka pale form 6, 2010 hali ya jengo kwa kwl syo nzur lakn kw yaliyobaki yote yalikuwa poa mapinduz ujamaa madarasa ya form 6 yote...
  8. S

    JamiiForums Tanzania ''Lukuvi anapaswa kupongezwa''

    ulimuelewa vizur au unaandika utumbo 2 hapa.!? amesema lukuvi anastahili kupongezwa kwa kuongea ukwl ambao viongoz weng wanaujua lakn walkuwa wanashndwa kuuongea, ukwl ambao ni hofu iliyopo miongon mwa serikal lakin hata waislam wnyw walkuwa hawaujui achilia mbali wazanzibar sikilza sawasawa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

    inaonekana mlifunga kumuombea kifo eeh, au na nyie mlimshtakia mungu (albadir), nyie si mnasema hamlipi ubaya kw ubaya.!? wazee wa kusamehe saba mara sabini, sasa kwanini mlimuombea mwenzenu afe.!?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Taarifa kwa umma kuhusu ugonjwa wa homa ya Dengue

    wizara ya afya haipo kimya ilishatangaza kuhusu huyu virus dar es salaam pwani lindi morogoro
  11. S

    JamiiForums Tanzania Jengo gani ni refu kuliko yote Jijini Dar es Salaam?

    pspf commercial building 152mtr ndo refu zaid tanzania na africa mashariki kwa ujumla na la 3 barani africa likiongozwa na ponte city apartments tower johanesburg 173mtr south africa, Nitel building 160mtr lagos nigeria
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini wamakonde wanadharauliwa?

    vipi lile kabila la kukandamiza kutoka kanda ya ziwa, maana sijaona watu washamba kama wale
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete azindua kituo cha moyo katika hospitali ya taifa ya muhimbili leo...

    1 step ahead. hongera rais uongozi wako nauelewa
  14. S

    JamiiForums Tanzania Napoteza Rafiki yangu jamani nisaidie

    mnatuharibia kiswahili jamani, sasa kumkopa au kumkopesha.!? nimkope au nimkopeshe.!? yani kiswahili mnakiharibu kabisa
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hivi EGM Ni science au art?

    EGM huwa inaitwa ARTS 6
Back
Top Bottom