Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,502
- 6,444
Hakuna anayedharauliwa isipokuwa ni kabila lenye marafiki wengi. Popote pale apitapo Mmakonde atataniwa sijui Chinga au Chamaki Nchanga, ni utani wa kawaida kabisa coz upo katika makabila yote Tanzania.
Kama ni kudharauliwa tuwataje Wachaga wa Uru (Kishumundu), wapo kwenye mkoa wenye maendeleo sana lakini wanantaniwa kuwa wanaogopa sanamu ya YMCA na ndio Wachaga walio chini kimaendeleo. Lakini kwa sababu ni utani tuu inakuwa poa kwani inakuongezea marafiki na heshima kwenye jamii kama na wewe utajua namna ya kujichanganya na utani huo
Kinachowasumbua ni inferiority tu, mtu akikutania unaona kakudharau! Mie nakataa unless umeleta ushahidi wa mmakonde kudharauliwa mahali ikiwa si lengo la utani.