Halafu nilikuwa sijaona ile pichaaaaaaaaaaaaaa. JAMANI Kweli huyu Ndiye anae tafutwa na jeshi la kenya!!!!!!!!!!!.......... LI-BASTOLA LA NINI MKUTANONI? kanyoli ba'gosha.
Na uzipate kweli salaam hizi MJOMBA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
SISI ndo wa ukweli na TABORA HUYU jamaa mnajua kama alikuja kwa lori la fusooooooooo! nawashangaa hata waliompa kura hizo CCM nyinyi mnauza nchi kinyemela mara wahindi mara wasomali ndiyo maana hawana uzalendo hawa. sasa...
ya ngoswe mwachie ngoswe! CHADEMA mkimpokea hapatatosha.! kigoma kuna wanachama wengi hilo jimbo tulimwachia kwasababu alionekana kuwa anaweza kumbe kweli hawezi. mtu ambae hawezi kutumia vikao kukosoa wenzake badala yake anakimbilia magazeti na tv. Acha ile kwake ajifunze.
Habari wanajamii forum? ukweli inauma sana kuona vyama tunavyo vitegemea kuleta mageuzi vinaishia kurumbana badala ya kuweka mikakati ya ushindi.
kwa hili la Kafulila kamati kuu ya chadema mnalo jukumu kumkubali ama kumkataa, hii endapo atataka kurudi kwetu.
cha msingi hapa ni hadidu za rejea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.