Recent content by Selous

  1. Selous

    JamiiForums Tanzania Clouds FM: Tundu Lissu kuhamia ACT- Wazalendo

    kaka Zitto kwann jana kwenye mkutano wako ulitoa salamu za TL badala ya CHADEMA if you real need strong institution? hasa kipindi hiki ambacho uchochezi na rubbish ni mingi?
  2. Selous

    JamiiForums Tanzania Clouds FM: Tundu Lissu kuhamia ACT- Wazalendo

    interesting story but lazima TL atoke aseme neon. this is too much
  3. Selous

    JamiiForums Tanzania IMF Report on Tanzania: Hiki ndicho ambacho watanzania hawakupaswa kujua

    nimecheka mpaka mbavu sina
  4. Selous

    JamiiForums Tanzania Namuona Mbowe aliye imara zaidi baada ya kifungo

    the true thing. asante sana mleta hoja
  5. Selous

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Ulinzi na Usalama wa ya Bunge yashindwa kuwasilisha ripoti juu ya shambulio la Tundu Lissu

    Kuwa CCM sio bahati mbaya wala......
  6. Selous

    JamiiForums Tanzania Baada ya muswada wa madini kupita, serikali yatangaza kuanza mazungumzo rasmi na Acacia

    Ukiangalia Notice and contributions ndo utajua WaTZ ni watu wa namna gani. Asante sana Baba Mola
  7. Selous

    JamiiForums Tanzania Tusikubali Wanasiasa Wapandikize Chuki Dhidi ya Polisi

    Nyumbu wapo TZ walio ng'ambo?
  8. Selous

    JamiiForums Tanzania Lini Rais atalihutubia Taifa kuhusu taharuki iliyozagaa nchini!?

    hata DPP and AG si wateuliwa wa JPM? kamata Lowassa kama ndo Fisadi wa Richmond
  9. Selous

    JamiiForums Tanzania Lini Rais atalihutubia Taifa kuhusu taharuki iliyozagaa nchini!?

    TAKUKURU wameteuliwa, IGP mnae, Mahakama ni Acting sasa kwanini Lowassa yupo CHADEMA mnashindwa kumtia keko?
  10. Selous

    JamiiForums Tanzania Lini Rais atalihutubia Taifa kuhusu taharuki iliyozagaa nchini!?

    Kama Lowassa ni fisadi, kwenye chama azimieni kumpeleka mahakama ya ufisadi. Simple, mbona kelele mingi wakati polisi, wananchi na mahakama ni zenu?
  11. Selous

    JamiiForums Tanzania CCM tafakarini huu ujumbe wa Lema

    Kama Wamarekani wana kautaratibu japo sio rasmi wa kubadili sasa huoni kama hata kama wote ni binadamu au waTZ ni veema kubadilishana badala ya kusema wote ni sawa? kwa uelewa wako CCM ni sawa na ACT kiitikadi? Hapo sijazungumzia matendo. Kwani vyama vingi vilianzishawa 1961 or 1977 au 1992...
  12. Selous

    JamiiForums Tanzania CCM tafakarini huu ujumbe wa Lema

    very low for you.....tunapigania nini sasa? ama kweli miafrika ndo tulivo.......
  13. Selous

    JamiiForums Tanzania Lema: Mh. Rais, Vyama vya siasa sio uadui

    what the issue behind? unajua adhabu ya kosa la kuota la Lema?
Back
Top Bottom