KayScarpetta
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,251
- 774
Hii Inaitwa pasua kichwa...Jamaa wanasema
"All three of our mines are continuing to operate in line with the previous announcements!"
Sasa kama hawa jamaa wanatuibia, wakati mazungumzo yakiendelea na kabla hayajaisha si watakuwa wametuibia zaid?.
nilitegemea Wazuiewe kuchukua mali, mpaka mazungumzo yaishe!
Lakini hawa ACACIA si tuliambiwa kuwa wanafanya ishu za uchimbaji bila kampuni yao kujisajili BRELA kinyume cha sheria?, sasa kwa nini waendelee kuzalisha wakati tumeshasema ni wezi?