Recent content by sellonlatbox

  1. S

    Nimeamua kujifunza Python programming

    Mkuu, kwenye control ya umri unaweza kuiweka hivi. if age >=18: print "Umri sahihi" print age print "Karibu ndugu %s, \numri wako ni miaka %s. \nEndelea na maelekezo yanayofuata. " %(name, age) choice=int(raw_input("Kumuona daktari bingwa andika 1, \nKumuona dakatari wa kawaida...
  2. S

    Mamlaka ya hali ya hewa nchini (TMA) wakishaona mvua inanyesha lazima watabiri mafuriko

    Sio kweli, hiyo ni sayansi. Tuendelee kujifunza vile tusivyo vijua pia.
  3. S

    Mamlaka ya hali ya hewa nchini (TMA) wakishaona mvua inanyesha lazima watabiri mafuriko

    Mkuu, kuna mambo mawili hapo. Kunyesha kwa mvua na kunyesha mvua inayo leta mafuriko. Tuendelee kujifunza na sio kupuuza.
  4. S

    Mamlaka ya hali ya hewa nchini (TMA) wakishaona mvua inanyesha lazima watabiri mafuriko

    Mkuu, mimi ni mwana JF na mdau wa sayansi hii ya hali ya hewa, hivyo naomba nitumie nafasi hii kutekeleza lengo mojawapo la mtandao wetu pendwa wa JF la kuelimishana. Kama hoja imeanzia mvua za jana na leo kwa mikoa ya pembezoni mwa bahari ya Hindi basi kuna taarifa ilitoka kabla ya hiyo...
  5. S

    Wageni waanza kuwasili nchini kushuhudia tukio la kupatwa kwa jua

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa ni Dr. Agnes Kijazi. Imeandikwa hapa Tanzania Meteorological Agency
  6. S

    Mvua ya kimbunga kikali kuanza kesho

    Ni kweli, kama swala ni kupima temperature unaweza kupima popote, sio nyumbani peke yake. Lakini temperatures hizo zitakuwa tofauti na wanazo sema wao. Ukipima temperature kwenye chumba una pata temperature ya chumbani, wakati wao wanatoa temperature ya hewa kwenye umbali wa 2m kutoka ardhini...
  7. S

    Mvua ya kimbunga kikali kuanza kesho

    Ni kweli mkuu kuwa sio kwenye kila kitu wanakuwa sahihi kama ambavyo tungependa lakini pia tuelimishane kidogo hapa tukitimiza lengo mojawapo la JF. Hali joto wanayo toa wao ni ya hewa inayopimwa kwenye vituo kutumia vipima joto vilivyo umbali wa mita 2 kutoka kwenye ardhi. Ningependa kujua...
  8. S

    Mvua ya kimbunga kikali kuanza kesho

    Ulikula hasara kwa namna gani ndugu?
  9. S

    Swali: Escrow ilikuwa abrakadabra? Zitto na PAC watujibu

    Mkuu nimependa hiyo pamoja na ripoti 'nzuri'. Hata hivyo, sikumbuki kama watanzania kuna siku tulikuwa la ripoti 'mbaya'. Kujua kama Escrow ni kitu halisi au la, tunatumia bunge kupitia kwa ripoti ya ile kamati kutafuta majibu. Lakini kwa kuwa Mwenyekiti wa ile kamati kwa maana hiyo bunge...
  10. S

    Nchi zinazoongoza kwa ufisadi,matumizi mabaya ya fedha za Umma, rushwa na Ubadhirifu wa fedha Afrika

    Mkuu hiyo CPI ni Multivariate Index, na hivyo sisi tonaongoza kwenye hayo uliyo yataja tu?
  11. S

    Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

    Hivi kufanya mazoezi sehemu ya mazoezi na kufanga mazoezi kwenye jukwaa la siasa ni kitu kilicho sawa mkuu?
  12. S

    Inaonyesha kuna Mengi sana nyuma ya ACT-Wazalendo

    Mkuu Malisa natamani sana unajimu wako utimie, kuwa ZZK+EL upande mmoja na upande wa pili nitapenda zaidi kuona CCM na UKAWA wakiungana kwasababu timu ya ZZK+EL ikikaa pamoja ndani ya ACT basi njia bora ya kushindana nao ni CCM na UKAWA kuungana na kusimamisha mgombea mmoja. Hilo...
  13. S

    Siku ya wanawake Duniani: Aina nyingine ya Ubaguzi wa kijinsia

    "Swali la kujiuliza ni kuwa kama tarehe 8 march ni siku ya wanawake, maana yake ni kwamba siku nyingine zote 364.25 ni za wanaume..." Inductive Reasoning yako hapo juu ndio sababu kubwa ya kupotea na kutoka kwenye mstari. Sikukuu hii ya Wanawake duniani origini yake ni nchi za Kijamaa, na...
Back
Top Bottom