Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Status
Not open for further replies.
Si ana PhD huyu mheshimiwa?

Mimi labda nifahamishwe tu, what point was he trying to prove, and why. Basi. Nisaidieni kujua hili.
Its physical fitness madam, hata kina Obama kutrot katika ngazi ni vikorombwezo hivyo hivyo, tunataka kujua kama rais wetu anaweza kwenda chooni bila msaada, la sivyo ni aibu kwa taifa
 
Wakuu wa vyama tafadhali muwafunde wagombea wenu wajue wanaomba nafasi ipi na wanatakiwa kufanya/kusema nini kwenye mikutano ya kampeni.
Hii ya Dr. imenishtua kidogo nikahisi isifike mahali tukawadhalilisha hawa watu bwana wakalazimika kutoa demo eti kujidhihirisha kuwa wana nguvu, hakuna mwenye uwezo wa kushikilia uhai wake au afya yake endapo mwili una dosari, kukosa afya au kuugua ni involuntary, uwezo wa mwanadamu ni mdogo mno ku-control la sivyo matajiri wasingeugua wala kufa, na sio kwamba eti ugonjwa au uzima ni kigezo kwa kuwa hapo madaktari wangejipanga kupima wagombea na wakikutwa na ugonjwa pengine watanzania tungewajibika kutafuta/kupata wagombea tofauti kabisa na wote ambao tungewafikiria, so wagombea taratibu taratibu hakuna ugomvi. Wapiga kura tunawaelewa.
 
Nilimwona Mh. Magufuli akipiga push up kwenye kampeni zake na wakati mwingine akikimbia kuonesha yuko vizuri kifya, hilo ni jambo jema.

Lakini watanzania hatupimi wagombea kwa kuwa na afya njema ila maono yao, vinginevyo mwaka 2010 Mh. Mrema asingeshinda pale vunjo lakini pia hata Mh aliwahi kuanguka jukwaani wakati wa uzinduzi wa kampeni mwaka 2010 lakini bado alichaguliwa.

Hivyo kuwa na afya njema siyo haiwezi kuwa sababu tosha uchaguliwe.

Sijaona Watu Wanafiki Kama Watanzania Tena Wale Wenye Mrengo Wa UKAWA/CHADEMA. Hivi Si Ndiyo Nyie Nyie Mliokuwa Mnasifia Zile Picha Za Marais Vladmir Putin Na Barrack Obama Walipokuwa Wanafanya Mazoezi Yao? Mnaojifanya Ni Wafukuzi au Wafukunyuzi Wa Mambo Hebu Ziangalieni Zile Picha Za Kipindi Cha Kampeni Cha Rais Obama Wakati Wa Awamu Yake Ile Ya Kwanza Ambapo Kuna Sehemu Alikuwa Akienda Kuomba Kura Kwa Watu Huku Akicheza Basketball Na Muda Mwingine Hata Kufanya Warm up Na Wanamichezo Aliowakuta Hapo Huku Akiwa Ktk Casual Wear Tu. Ndiyo Maana Mara Nyingi Huwa NAWADHARAU Watu Wa Upinzani Kuwa Mna Uwezo Mdogo Wa KUFIKIRI Kwa Kuja Na Hoja Very Cheap Na Za Kitoto Kabisa Ambazo Hata Mwanangu Samora Machael Na Umri Wake Huu Mdogo Hawezi Kufikiri Kama Nyie. Eti Na Wewe Mleta Huu Uzi Ni Mpiga Kura Wa Lowassa Hivi Kwa Aina Hii Tu Ya UPOPOMA Wako Huu ULIOTUKUKA Kwanini Lowassa Asianguke Na Kukosa Urais? Nashukuru Mwenyezi Mungu CCM Hatuna Mbegu CHAFU Kama Hizi Na Ukiona Mtu Mbumbumbu Yupo CCM Basi Akipelekwa UKAWA / CHADEMA Atakuwa Ni Genius Wao.
 
yule mgombea mgonjwa alipokua kigoma alikua ana jaribu kukimbia kwenda kupanda helikopita ndio kipimo cha Urais???
 
Your knowledge attitude is questionable.
Amani imeletwa na CCM? Kama ndiyo, kwani wasiende kufungua matawi ya ccm Sudan kusini na Somalia ili amani ipatikane?
Hii ndiyo maana nasema uelewa wako ni mdogo kuliko wa panzi.
Amani tumeileta wenyewe kwa kukubali kudhurumiwa na kukaa kimya.
Pili umesema Rell ya TAZARA huu ni msaada wa China.
Kujenga shule wanafunzi wanakaa chini huu si mpango mzuri. Na kwa kuweka kumbukumbu sahihi aliye himiza Shule ni Lowasa tu.
Kusaidia Ukombozi Africa. Tunanufaika nini na hilo?
Chuo sawa hilo ni muhimu pia ni kazi iliyoasisiwa na Lowasa.
Maji yanapatikana kwa watanzania 8%. Wengine 92% hawapati hii akili kweli? kuweka kumbukumbu Sahihi na mradi huu ni wa Lowasa.

Uchumi unakuwa uku watanzania 87% wanaishi kwenye Dimbwi la Umasikini hii haina maana.

Kenya Miaka kumi baada ya kuiondoa KANU imengia kwenye Nchi za Dunia ya pili, wakati sisi ambao uchumi unakuwa bado tuko kwenye kundi la Nchi masikini Zaidi duniani.

Watu tunataka Maisha Bora na si Bora Maisha.
Tunahitaji Mabadiliko

With due respect sir,
kama lugha ya watu ni ngumu usitumie, mbaona kiswahili bomba tu? unalazimishwa?
na kama Lowasa anakazania elimu ni kwa watu kama wewe,
CCM kufungua matawi Somalia, IQ yako inakaribia zero,
Anyway na Lowasa wako mfundishane kwanza - acha Tuwape wachapa kazi nchi.
Kwani hata Lowasa elimu yake ndo hivyo tena, mwanaume utasomaje Sanaa za maonesho? uzamili pia unasoma DS! shame!!
 
Rais anatakiwa awe fit kwani ni Amiri jeshi mkuu. Yeye anatakiwa kukagua magwaride.Sasa kama afya ni mgogoro ataweza kukagua magwaride akialikwa huko ughaibuni!
Yaani amiri Jeshi mkuu ameanza kuhara akiwa kwenye jukwaa ni hatari
 
Jamani ikulu haitaji maguvu kama powertiler what's needed there is only smart brain to judge and implement your judgement that's all and no more nor less
 
Ana piga pushap kwan ikulu, kuna mashindano ya ndondi.....watanzania hatuna shida na pushap.....matatizo yetu yapo bayana viongezi wetu wanashindwa kuyatatua.....cha msingi aeleze sera na si senema.
 
Kwakuwa mgombea wao makufuli,kila akitupuwa hoja inayohusu afya ya mwili wake anaprove kwa vitendo mfano kukimbia ama kupga push up,hebu tuseme mgombea wao hajafanyiwa tohara ama anajinsia 2 ili tuone kama atakurupuka kutuonesha kuthibitisha hana anachotuhumiwa nacho

mkuu ninauhakika jiwe ulilopga lmempata hasaaa
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Hivi Magufuli angekuwa na hali ya afya aliyonayo Lowassa, na pia anakwepa Mdahalo mngesemaje?

Hivi urais ingekuwa ni nguvu na sio akili unafikiri nyerere angeweza kupigana na IDD amin?, si nyerere angepigwa ndani ya sekunde moja tu?
 
Sijaona Watu Wanafiki Kama Watanzania Tena Wale Wenye Mrengo Wa UKAWA/CHADEMA. Hivi Si Ndiyo Nyie Nyie Mliokuwa Mnasifia Zile Picha Za Marais Vladmir Putin Na Barrack Obama Walipokuwa Wanafanya Mazoezi Yao? Mnaojifanya Ni Wafukuzi au Wafukunyuzi Wa Mambo Hebu Ziangalieni Zile Picha Za Kipindi Cha Kampeni Cha Rais Obama Wakati Wa Awamu Yake Ile Ya Kwanza Ambapo Kuna Sehemu Alikuwa Akienda Kuomba Kura Kwa Watu Huku Akicheza Basketball Na Muda Mwingine Hata Kufanya Warm up Na Wanamichezo Aliowakuta Hapo Huku Akiwa Ktk Casual Wear Tu. Ndiyo Maana Mara Nyingi Huwa NAWADHARAU Watu Wa Upinzani Kuwa Mna Uwezo Mdogo Wa KUFIKIRI Kwa Kuja Na Hoja Very Cheap Na Za Kitoto Kabisa Ambazo Hata Mwanangu Samora Machael Na Umri Wake Huu Mdogo Hawezi Kufikiri Kama Nyie. Eti Na Wewe Mleta Huu Uzi Ni Mpiga Kura Wa Lowassa Hivi Kwa Aina Hii Tu Ya UPOPOMA Wako Huu ULIOTUKUKA Kwanini Lowassa Asianguke Na Kukosa Urais? Nashukuru Mwenyezi Mungu CCM Hatuna Mbegu CHAFU Kama Hizi Na Ukiona Mtu Mbumbumbu Yupo CCM Basi Akipelekwa UKAWA / CHADEMA Atakuwa Ni Genius Wao.

Hivi kufanya mazoezi sehemu ya mazoezi na kufanga mazoezi kwenye jukwaa la siasa ni kitu kilicho sawa mkuu?
 
Wewe!!!! afya ya Rais ni mhimu sana. hivi unajua gharama za kupata Rais? acha mchezo wewe! hatutaki ya Zambia yatokee Tz, marais wao wawili wamekufa wakiwa madarakani sababu waliingia ikulu wakiwa wagonjwa kawa lowa dhaaa
 
Monyiaichi umeongea pumba sana lazima Rais uwe mchangamfu na kwani aliishia kupiga push up tu just think kabla hujapost
 
Hivi urais ingekuwa ni nguvu na sio akili unafikiri nyerere angeweza kupigana na IDD amin?, si nyerere angepigwa ndani ya sekunde moja tu?

Hivi Nyerere angekuwa ni mtu wa 'dakika tatu' unafikiri nini kingetokea? Naomba pia kukuliza, kwa hali ilivyo sasa, nani anafanya maamuzi kwa niaba ya Lowassa? (nimetumia neno 'kwa niaba)?
 
Na akiupata urais mawaziri watapigishwa push-up.. huyu jamaa hatufai hata kidogo.
Badala akomae na sera yeye anakomaa na ufiti.
Ufiti wa nini wakati huelewi kesho?

"Being Tanzanian is not a problem, problem is being under CCM"

Nasikia huwa anawarukisha kichura chura na kuwacharaza viboko majirani na wapita njia, kule kwake Chato.
 
Tunamuhitaji Lowassa ili ile rasimu nzuri ya Warioba iwe katiba yetu. Hawa wababaishaji waondoke na katiba pendekezwa yao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom