Bro ukipanda ule mlima unakutana na hali ya hewa zote unazozijua hapa duniani kama afya yako mgogoro unaweza usirudi salama kule mwendo wa pole pole ili uzoee mazingira
Kwanza hiyo 30k ilikuwa ndio bajeti yangu siku zote nilizokuwa huko kuhusu Ndito nguvu zako unaweza kualika wageni 10 kwa siku maana huku kama kumsuma mlevi na hasa ukiwa mgeni tena kutoka Dar
Dar - Kondoa kwa basi 25000 hadi 30000 Usafiri wa ndani 5000 hadi 10000 kwa safari moja sehemu ya kulala 5000 hadi 25000 utachagua mwenyewe Mimi nilitumia 300000 nilikaa week moja
Mimi mwana Dar es salaam mzaliwa wa Amana Hospital kabila Mkwele na Uzaramo mchanganyiko.
Nimekuwa na kawaida kutembelea maeneo tofauti kitika nchi yangu ninapopata nafasi baadhi ya maeneo niliofika Gombe na Mahale, Rubondo, Mikumi, Saadan, Tarangire na baadhi hifadhi list ndefu.
Kondoa hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.