Recent content by selina mrembo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kumpost...

    M***e
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kumpost...

    Nilichogundua uyu hana akili nzuri taira wa kwanza kupatikana duniani nishamsamehe!!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kumpost...

    Weka emoji kuanzia mbili au tatu tuone ulivyonyegeka zaidi sasa hapo unacheka unalia.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kumpost...

    Sibishanagi na walevi spendi kurushiwa mate sasa iyo id na hii inahusiana nini acha umbea
  5. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kumpost...

    Kwaiyo unataka kuanza kushona suruali zako zilizochanika au nikupe na sindano.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kumpost...

    Bata mzinga bata wa kawaida mana wapo aina mbili ila nafurahi naisi ntakuwa na akili za bata mzinga ushawahi muona bata mzinga mbona poa sana woyoooo!!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kumpost...

    Wewe hapo umezingatia uandishi? Sijawahi ona aina ya sentensi yako kwenye kiswahili ata siku moja kiima na kiarifu kiko wapi eti unaandika Nani alafu ana kukimbiza duh!! Kosoa wezako ukijiona mwenyewe upo complete in words sio unaongea tu.Andika ivi Nani anakukimbiza? Basi wewe na mimi wote...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kumpost...

    Nilikuwa na mwanaume ambaye tushaachana kwa sasa, tulibahatika kupata mtoto mmoja tuliachana katika ugomvi flani tulirushiana maneno mengi mengi ila sio matusi wala sio kashfa ni ya kawaida tu. Mimi nimepata mwanaume handsome yani yeye haingii kwa huyu japo naye ni mzuri pia kama kuna post yangu...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nipo katika mahusiano kwajili ya kupata faraja

    Nilikuwa na mahusiano lakini badaye yakavunjika, yalivyovunjika nikawa na wakati mgumu sana ku-recover lakini ikanibidi niwe na mahusiano mapya kwajili ya kupata faraja. Kwakweli sikuchukua mda maumivu yote yakaisha na nikamsahau kabisa X wangu. Mahusiano ya sasa nampenda sana huyu mwanaume na...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada, kasi yangu ya uelewa darasani imepungua

    Naitwa selina ni mwanachuo nasomea uhasibu AAR ngazi ya Diploma, Jamani tangu misukosuko inipate nimejikuta kasi yangu ya kusoma imepungua sana hadi lecture akauliza darasani nina matatizo gani certificate nilipata misukosuko ya kimaisha lakini perfomance yangu ilikuwa nzuri sana sikuwahi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Huu unafiki wa Mama Mkwe

    Huyu mama mkwe kama mnafiki naona kama saizi ananipenda sana baada ya kuachana na mtoto wake. Nakumbuka uko nyuma niliwahi kaa kwake na mtoto ake alimwambia mtoto wake nirudi kwetu kwani sio vizuri kuendelea kukaa pale kwasababu alitoa barua tu. Ila nikiwa mbali alikuwa ananitafuta kunijulia...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hellow doctors

    Kwani nina mimba ha ha jaman si nimeulz swal Sent using Jamii Forums mobile app
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hellow doctors

    Nilipata siku zangu mwanzoni mwa mwezi wa tano nikimaanisha kuanzia 1..2.3..sikumbuki nilitumia siku ngapi ila tareh 13 ya mwezi huo nilikutana na mtu nina shida ya vidonda vya tumbo pia sasa maeneo ya chini ya kitovu nashindwa kuelewa nina shida gani. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ili tatizo

    Tangu 2013 isingepasuka kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  15. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ili tatizo

    Kweny utrasound nilichek Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom