Hellow doctors

selina mrembo

Member
May 18, 2020
54
68
Nilipata siku zangu mwanzoni mwa mwezi wa tano nikimaanisha kuanzia 1..2.3..sikumbuki nilitumia siku ngapi ila tareh 13 ya mwezi huo nilikutana na mtu nina shida ya vidonda vya tumbo pia sasa maeneo ya chini ya kitovu nashindwa kuelewa nina shida gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inashauriwa kuanza kliniki ya ujauzito mimba ikiwa na umri sawa au chini ya wiki 12
 
Ovulation hutokea siku ya 14 toka uone siku zako,maana yake ni kwamba tarehe ya kupata mimba ni 14+3 na 14-3 yaani tarehe 11 hadi 17 probably huo ni ujauzito ukienda kupima Leo haitaonesha manake kipimo kinasoma sik 14 toka ukutane na mwanaume kwahy jumlisha tarehe uliyokutana 13+ hzo sik 14=27 kwhy kuanzia tarehe 27 kapime ujauzito kama upo au la.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Possibly una mimba.. Kipimo cha mimba kinauzwa mia tano (jero) kwahio unaweza kwenda duka la madawa au mtume mtoto yyte hapo akakuletee ucheki .. kama sio mimba urudi tena nikupe diagnosis ya pili.
 
Back
Top Bottom