Recent content by selestei

  1. selestei

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mazoezi gani yanasaidia matiti yaliolala yakawa firm?

    Nawashukuru wote kwa michango yenu pamoja sana
  2. selestei

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mazoezi gani yanasaidia matiti yaliolala yakawa firm?

    Au ni kitu gani kinaweza saidia matiti yaliolala kuwa firm, kujaaa, kunyanyuka juu. Jamani ni hivi kuna wadada wana matiti yamelala na sio kwamba washazaa au labda ni malaya, maana kuna malaya lakini wana matiti madogo. Hapa naongelea matiti yenye size ya kawaida ambayo mpaka yavalishwe bra...
  3. selestei

    JamiiForums Tanzania Msaada:: Typhoid inanitesa!!

    Pole mtoa mada...
  4. selestei

    JamiiForums Tanzania Ijue teza ya Pineal

    Natamani ningekuwa nalala kama wewe..
  5. selestei

    JamiiForums Tanzania Kumbe machozi ni sumu!

    Hospital ndio walimwambia au wewe umehisi itakuwa ni sababu ya machozi??
  6. selestei

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa au namna ya kuondoa mvi

    Hamna dawa ila unaweza prevent zisiongezeke... Angalia hiyo link chini http://www.newhealthguide.org/How-To-Reduce-Grey-Hair.html
  7. selestei

    JamiiForums Tanzania Kwanini mimi peke yangu ndio siongezeki uzito!!

    Wengine tunatamani kupungua wengine kuongezeka ni sheeeder!!
  8. selestei

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenye hela ni kila kitu japo muda mwingine inawagharimu

    Wasipende kumwaga mipesa hovyoo,, kama mwanamke anakupenda anakupenda tuu na sio lazima umpe hela,, mfano utoaji wa hela uwe na sababu za msingi mfano anakuambia anaomba hela ya kununua weaving 400,000 na mwanamme unatoa,,au sijui akanunue CL ya milioni moja.. Au mwingine anaamua kumlipia ada...
  9. selestei

    JamiiForums Tanzania Juisi ya miwa ni salama?

    Niliwahi kunywa juisi kariakoo niliharisha siku nzima,, sitosahau siku ile...
  10. selestei

    JamiiForums Tanzania Katika hii picha unaona nini?kisa cha kweli

    Kweli mi nimeona... Hahaha ila watu mba macho makali
  11. selestei

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda katika SELFIE!

    Hujafa hujaumbika...nakumbusha tuuu
  12. selestei

    JamiiForums Tanzania Masomo gani yalikuwa magumu chuoni lakini ukafaulu?

    Umeeleweka sana kaka.. Pengine yeye ndio shule hamna..
  13. selestei

    JamiiForums Tanzania Kipandauso (migraine): Chanzo, Dalili, Tiba na jinsi ya kujikinga na tatizo hili

    Tumia tangawizi mimi ilinisaidia sana, chukua kipande cha tangawizi twanga chemsha na maji. Kunywa. Fanya asubui mchana na usiku kabla hujaenda kulala.. Na kuhakikishia baada ya siku mbili kitakuwa kimeacha kabisa.. Ila tahadhari usizidishe sana tangawizi,, isiwe kali sana mpaka kuumiza utumbo...
  14. selestei

    JamiiForums Tanzania Utando mweupe mdomoni baada ya kupiga mswaki nini kinasababisha?

    Ni kweli kabisaa huwa unakuwa kwa ndani pia.. Nawashukuru sana yaani nilikuwa natafuta watu kama nyie mnisaidie..
Back
Top Bottom