Utando mweupe mdomoni baada ya kupiga mswaki nini kinasababisha?

Utando mweupe mdomoni baada ya kupiga mswaki nini kinasababisha?

Wewe una ukimwi bwana..kwanza kuchati chati hapa jf unasambaza vvu kwa njia ya mtandao..hebu log off

Yaani katika siku nimekushusha thamani ni leo kumbe wewe ni hamnazo hivi?? Sikujua bure kabisa wewe hufai unamtukana mtu hata humjui UKIMWI ni wa kuchezea?? Labda wewe si binadamu nkt
 
Hiyo inaweza ikawa ni candida fungus hutokea sana mara nyingi husababishwa na kinga pungufu za mwili sio lazima uwe na ukimwi kuna sababu nyingi za kupungua kinga utumiaji wa untbiotic kwa muda mrefu hupunguza kinga pia ImageUploadedByJamiiForums1410222954.339966.jpg je ni aina kama hiyo au chunguza dawa za mswaki
 
Kuna mtu alinitumia hiyo link
wengi inawakuta na ni saa moja baada ya kupiga mswaki na ukishafuta basi... Haitokei tena sasa kama ni fungus they should be there all the time..
Nimeamua kuweka hapa ili kama kuna mtu alishawahi kupata hili tatizo basi ashare kwamba alifanyaje ikaisha...kama issue ni dawa ya mswaki alivoacha akatumia ipi ndio nataka watu wa aina hii.. Naomba muelewe nyie wabongo mamburula Std seven, division five mliokariri ni ukimwi narudia tena sio ukimwi... Na kama ni ukimwi ina maana ningekuwa najua tatizo liko wapi kwanini nije kuuliza?? Mimi nilishapima na nikakutwa negative many times..Kama huna uelewa na tatizo plse do not comment..

White stuff sticky in my lips after brushing and it happens after half an hour or an hour.. What is the cause??
Plse share if you know.. Thanks in advance...

http://m.steadyhealth.com/White_discharge_from_gums_and_mouth_after_brushing_teeth_t133489.html
 
Hiyo inaweza ikawa ni candida fungus hutokea sana mara nyingi husababishwa na kinga pungufu za mwili sio lazima uwe na ukimwi kuna sababu nyingi za kupungua kinga utumiaji wa untbiotic kwa muda mrefu hupunguza kinga piaView attachment 183941 je ni aina kama hiyo au chunguza dawa za mswaki

Ni hivi huwa inatokea baada ya kupiga mswaki tuuu na ni nusu saa au saa na nikishafuta nakuwa okey the whole day..
Najaribu kuangalia kama kuna mtu ana hili tatizo au alishawahi pata hilo tatizo may be anaweza saidia alifanyaje likaisha.. Angalia comment ya juu ina link..
 
Kuna mtu alinitumia hiyo link
wengi inawakuta na ni saa moja baada ya kupiga mswaki na ukishafuta basi... Haitokei tena sasa kama ni fungus they should be there all the time..
Nimeamua kuweka hapa ili kama kuna mtu alishawahi kupata hili tatizo basi ashare kwamba alifanyaje ikaisha...kama issue ni dawa ya mswaki alivoacha akatumia ipi ndio nataka watu wa aina hii.. Naomba muelewe nyie wabongo mamburula Std seven, division five mliokariri ni ukimwi narudia tena sio ukimwi... Na kama ni ukimwi ina maana ningekuwa najua tatizo liko wapi kwanini nije kuuliza?? Mimi nilishapima na nikakutwa negative many times..Kama huna uelewa na tatizo plse do not comment..

White stuff sticky in my lips after brushing and it happens after half an hour or an hour.. What is the cause??
Plse share if you know.. Thanks in advance...

White discharge from gums and mouth after brushing teeth · Oral and Dental Health discussions | Body & Health Conditions center | SteadyHealth.com

tena ndugu hii hutokea pale unaposwaki bila kula chochote ama kunywa chochote si wewe tu watu wanaoswaki baada ya kula ama wakat wa kulala lazima iwatokee hata mim hunitokea wala si ugonjwa mtu asikutishe ni dawa tunazotumia tu kuswakia.na wakat huo mdomo unakua mkavu sana.nadhani cloride ndo inasababisha hii ila ukitia chumvi ama sukari mdomoni kama kumumunya baada ya kuswak hautokei.ni kawaida kabisaa.we fanya hivi..kama upo ofisini ukiswaki mumunya pipi. hutauona
 
Binafsi nilikua na hilo tatizo lips inakua kama kuna lipstic zile za maji fake imeganda kwa wanao zifahamu.

Tiba niliyojipa mwenyewe ukimaliza kupiga mswaki sukutua na osha lips dawa isibaki hapo.then pata kitu cha moto kabla ya kupaka lipstic kama wewe ni ke.kama me basi hakikisha unapata kutu cha moto.
utando huu pia unaweza kuwa katika kuta za mashavu kwa ndani.
 
Ahsante sana... Nitafanya ulivyoniambia..
 
Binafsi nilikua na hilo tatizo lips inakua kama kuna lipstic zile za maji fake imeganda kwa wanao zifahamu.

Tiba niliyojipa mwenyewe ukimaliza kupiga mswaki sukutua na osha lips dawa isibaki hapo.then pata kitu cha moto kabla ya kupaka lipstic kama wewe ni ke.kama me basi hakikisha unapata kutu cha moto.
utando huu pia unaweza kuwa katika kuta za mashavu kwa ndani.

Ni kweli kabisaa huwa unakuwa kwa ndani pia.. Nawashukuru sana yaani nilikuwa natafuta watu kama nyie mnisaidie..
 
Hio husababishwa na ulaji wa vyakula vyenye hamira kwa wingi au mara kwa mara, mfano mandazi,mkate n.k mabaki ya vyakula hivyo endapo yatabaki kinywani Zaid ya saa Moja hupelekea uzalishwaji wa bacteria ambao ndio husababishwa utando huo.hivyo ni Muhimu mara tu ulapo vyakula hivyo hata vingne piah kusafisha kinywa kwa kutumiah dawa ya meno aina ya Colget na mswaki mlaini usiochubua kinywa.piah ni kawaida kwa mtu aliyelala akiwa ameachama mdomo angalia hakusafisha kinywa mara baada ya kumaliza Kula kupata utando kinywani asubuh aamkapo.ulaji wa matunda venye vitamin C husaidia kulinda afya ya kinywa na lips kwa ujumla, mfano wa matunda hayo ni machungwa, nanasi pia matango ndio yenye umuhimu mkubwa zaid.pia upungufu wa maji ya kutosha husababishwa hali Kama hio kwa mtu yeyote,pia hii ni dalili mojawapo ya kuwa na allergy na baadhi ya vitu fulan unavyokula na kunywa
 
Mimi nilikuwa nayo hiyo Hali lakini ukila matunda na maji ya kutosha daily inapotea tu.Tatizo watu tunakunywa maji tunapohisi kiu.
 
Habari zenu wana jamvi Na madokta wa Jf.

Mimi nna tatizo la kutoka utando mweupe baada tuu ya kupiga mswaki.. Na inaonekana kuzunguka kwenye lips za chini.

Kwa sasa ni miaka 6 nna hili tatizo. Nimekuwa nikikosa amani hasa napotaka kutoka kwenda kazini lazima nijicheki lips na kufuta.. Ila nikishafuta basi huo utando hautoki tena..sasa siku nikisahau yaani nakuta zimejaa zimezunguka lips.. Mfano juzi nilikuwa na kikao cha ofisi si nikapiga mswaki nikasahau kujicheki,, yaani nimemaliza kikao najiangalia nakuta lips zina utando mweupe.

Naomba ushauri wenu kwa wanojua tatizo nini?? Je nna allerge na dawa za mswaki ama ni kitu gani? Kwanini itokee nikipiga mswaki tuuu??

Msaada tafadhali..maana nakosa amani wakati mwingi..

Kwenye dawa za meni kuna kiambata kinaitwa sodium laurel sulfate. Hii ni surfactant/kemikali inayopunguza mvutano kati ya chembechembe za uchafu/surface tension ili kurahisisha kusafishika.

Kemikali hii pia huweza kuathiri ukuta wa ngozi ya mdomo kwa baadhi ya watu.
Hivyo, kinachoonekana ni utando wa seli za ukuta wa mdomo zilizoathiriwa/kufa.

Utando unaotokana na fangusi huwa hauondoki kwa kuufuta. Hili huwa ni moja ya jaribio la utambuzi kwa watoto wadogo wenye fungasi, ukifuta na kitambaa ukatoka basi yawezekana zaidi kuwa ni maziwa au kitu kingine alichokula mtoto, ikiwa ukifuta kwa kitambaa na hautoki basi ni fangusi.

Pia fangasi isingesubiri mtu kusafisha mdomo kwa dawa ndo tatizo litokee.
 
Back
Top Bottom