Recent content by Selemani Sele

  1. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Lake oil Makumbusho Mungu anawaona sio ishu kabisa

    Ngoja nione baadae
  2. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Lake oil Makumbusho Mungu anawaona sio ishu kabisa

    Gari immediately ikipanda inapanda range na gauge hata moja haijapanda
  3. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Lake oil Makumbusho Mungu anawaona sio ishu kabisa

    Nimeweka mafuta ya 50000 mshale hata hujapanda, maana nikieka unafika robo Nimemconfront attendant anaanza kusema gari langu bovu
  4. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

    Tell me about a GOOD SOOOOOOOOOOOOONG
  5. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Vitu nilivyoona ambavyo vinanipa utata nikivifikiria hadi leo

    Kuna mwamba alikuwa anaitwa meshack alivunja kufuli la dorm kwa ngumi
  6. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Penzi la mdada trafiki lilivyonitesa

    Kila siku tatizo jipya
  7. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Penzi la mdada trafiki lilivyonitesa

    Aisee, Ngoja nipumue kidogo mwaka jana mwezi wa sita nilitongoza mdada kitaa, akanikubalia tukawa wapenzi. Sasa huyo dada hakuniambia kwamba ni Trafiki nilikuja kugundua nilivyopita Ubungo Mataa na kumuona. Sasa kuna siku mwezi wa 11 mwaka jana nikavusha mdada ghetto akatufumania, nilionba...
  8. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kisasa yenye kiini cha rangi ya chungwa (orange)

    SERIKALI IINGILIE
  9. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kisasa yenye kiini cha rangi ya chungwa (orange)

    too much imekuwa
  10. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Kuipenya Law School of Tanzania (LST) – Hizi Ndizo “Code” Zilizoniokoa, Huenda Zikakuokoa Pia

    ila kile chuo kuna watu huwaga wanalia mtu yupo toka 2018 civil inamshika
  11. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kisasa yenye kiini cha rangi ya chungwa (orange)

    Sisi watoto wa Dar,Mabachelor Mlo wetu main ni Ugali na Mboga Ya Mayai. Na kama ilivyozoeleka Yai kiini chake ni cha Njano ila Tangia Juzi nikinunua Mayai kiini ni cha Rangi ya Chungwa (Orange) na halina Shombo hata Kidogo nawaza haya mayai ya nini au Tuhamie Kwenye Kienyeji,
  12. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

    Ni kweli Jonathan sowah kasaini kwa wanalunyasi simba sports club. DEAL DONE
  13. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

    RNB IN ITS PEAK
Back
Top Bottom