Recent content by Selemani jafari

  1. Selemani jafari

    JamiiForums Tanzania Wale mliofanikisha interview ya kwanza mkatoboa written na oral na placement karibuni hapa

    Kwa sasa naona mfumo PRSR mitihani ya written mingi ipo katika multiple choice ( Maswali ya kuchagua) hakikisha unapitia kila kitu maana watu ni wengi hivyo competition ni kubwa sana Usiache kumtanguliza Mungu jibu maswali kwa Usahihi. Ukifanikiwa kuingia Oral huwa wanatoa dakika kumi hadi 15...
  2. Selemani jafari

    JamiiForums Tanzania Siwezi kutoboa, Waalimu elfu 28 kugombea nafasi 183. Narudi kulima

    Nenda kwenye usahili mkuu mi nilienda kwenye usahili nafasi zilikuwa 20 tulienda watu 700 lakini nikatoboa. Kimubwa weka juhudi kwenye kusoma, Mtangulize Mungu ukifanikiwa kuingia oral Onyesha uwezo yani hadi pannel ione yes huyu ndiye tunaye muhitaji. All the best mkuu.
  3. Selemani jafari

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Habari naomba kuuliza ivi kwa zile nafasi za utendaji wa kijiji na Mitaa ukishatuma maombi unasubiri baada ya mda gani uitwe kwenye interview? kuna dogo analalamika apa kuna matangazo toka mwezi wa saba Mwanzoni katuma maombi na yameisha mda wake ila hadi leo bado hajaitwa?
  4. Selemani jafari

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Huu mfumo kwa sisi tuliosoma mzumbe tunaelewa E-learning sio poa unaweza ukajikuta test unapata 0.5/15 uchungu wake unakuta upo swali la kumi alafu dadika zimeisha Test ina ji submit yenyewe kikubwa kuwa fasta kwenye kujibu maswali kwa umakini na haraka
  5. Selemani jafari

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Man u miyeyusho dadeki
  6. Selemani jafari

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    STATUS: searching for Interniship Position PROFFESION: Bachelor Degree in Public Administration UNIVERSITY: Mzumbe University EXPERIENCE: 4 Months as Assistant Human resource officer. LOCATION: Dar es salaam EMAIL: jongosemani970@gmail.com OTHER SKILLS: Microsoft Packages (Exel...
  7. Selemani jafari

    JamiiForums Tanzania Courses za ngazi ya cheti (certificate)

    Akasome Local government Hombolo, watendaji kila siku wanaajiliwa ngazi ya cheti yani level 5.
  8. Selemani jafari

    JamiiForums Tanzania Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga

    Hii kwa wanaume wenzangu ukimpenda Mwanamke Muweke akilini na sio moyoni. Moyo mkabidhi Mungu pekee, Maana siku zote Mwanadamu Mke /Me mda wowote anabadilika. Ukimuweka akilini ni rahisi sana ku Move on pale ambapo mtaachana.
  9. Selemani jafari

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hivi portal ya Taesa bado iko active au ilishakufa?

    Bado ipo active mkuu
Back
Top Bottom