Wadau wa JF habari?Hivi karibuni kumetokea kimbunga CHIDO katika bahari ya hindi na kuathiri maeneo mbalimbali ikiwemo kaskazini mwa msumbiji,Malawi,Zimbabwe na kisiwa cha Mayotte..katika kufuatilia zaidi nakutana na habari ya kuwa kisiwa cha mayotte ni eneo la Ufaransa na Rais wa Ufaransa...
Yan kwa jinsi nchi hii ilivobarikiwa kwa rasilimali mfano bahari,mbuga za wanyama,madini n.k..ki maendeleo tulipaswa tuwe mbali sana na wananchi hatukupaswa kabisa kubebesha mamizigo ya kodi namna hii na mitozo ya kila rangi...tumekosa viongozi wazalendo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.