Recent content by seleman2013

  1. S

    Mambo ambayo CHADEMA kamwe hawawezi kuyazungumzia ni haya...

    Pia kuna usambazaji wa ruzuku mikoani.
  2. S

    Rwanda - Tanzania Tensions Flare Again

    Mwache ajidanganye tu, but kama andhan anintelligensia ya kutosha ya wanyarwanda hapa Tanzania asidhan, Tanzania haina intelligensia ya kutosha huko Rwanda, hana hoja na hatumuogopi, yeye aendelee kutisha waasi wenzie huko siyo TZ.
  3. S

    Mfumo wa Mishahara Mwisho wa Mwezi Umepitwa na Wakati Serikali Ijipime!!

    Its tue ila nadhan c Tanzania pekeyetu wenye mfumo huu wa mwisho wamwezi, nadhan the whole of Africa inabidi ibadilike na tunaweza tukaanza cc kwani inawezekana. Gud insight.
  4. S

    Baraza la maaskofu katoliki (TEC) limbane Polycarp Pengo kuhusu anavyokataa Serikali tatu

    Jamani kwani hili la serikali tatu imeshakuwa sheria?, msituletee mambo ya asilimia 16 ya watanzania kuwa ndiyo maoni ya nchi, tupo wengi tunaotaka serikali mbili ziendelee na c pengo pekeyake, na watu waache majungu ya kisiasa hasa kwa kutaka kutengeneza nafasi za kiuongozi ilikwamba wakikosa...
  5. S

    Msimamo wa Nyerere, Mareale UN ulikuwa mmoja

    Tuachane na porojo za kikabila tuwe wakweli, hawa wa kaskazin na ukabila wao kutawala itakuwa ni ndoto, hivi ni wapi katika Tanzania ambapo watuwake hawana akili, na Huyo nyerere aliyemzidi akili Marealle naye alikuwa wa kaskazini?, achana na pumba na mjadili mambo ya maana, bogaz.
  6. S

    Si Nyerere bali ni Mseven ndo alimlipua Oyite-Ojok

    Hebu tupe na historia ya Huyo aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar, maana wengi wanatuchanya na historia imeshindwa kuweka waz. Thanx
  7. S

    Si Nyerere bali ni Mseven ndo alimlipua Oyite-Ojok

    Tunashukuru kwa historia kaka, ila ile sehem ya tatu ya Vita ya Kagera vipi?, maana bado tunaisubiri.
  8. S

    Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

    Hili siyo level yangu, la kitoto mno.
  9. S

    Picha Mapokezi ya Zitto Vs Lema

    Cpend kujadili watu, I prefer tujadili issues, hili siyo jukwaa la simple mind its for average mind who discuss events and strong mind only who discusses issues/Ideas,
  10. S

    Dr. Slaa: Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya gongo kisheria

    Sasa ataruhusu gongo kitaaluma au kisiasa, maana kwa taaluma ya hapo juu, he is going to kill many, kama viroba tu ni ishu na je gongo ikiruhusiwa, I cant imagine, aje na jingine pls!!
  11. S

    Ombi kwa JK: Usimkubalie Mwakyembe kuhusu Airport ya Dar

    We vip?, hiv ni Jk yupi anayependa viwango unayemzungumzia hapa?, ama unachanganya na Julius Kambarage?, think twise.
  12. S

    Baada ya ripoti ya TANAPA kutaja majina ya wabunge 4 CCM kujangili meno ya tembo, Namshauri JK...

    Wewe umewajuaje, kama unaushahidi wa kutosha go public, haiwezekani nyara zetu zinapotea na watu kama wewe mpo na mnakaa kimya na data, "the great tragedy in this world is not to do evil, but is when bud thing happen and good people just do nothing" - ukiendelea kukaa kimya nawe tunakuingiza...
  13. S

    Kwa hili lililotokea Kigoma CHADEMA wasithubutu kumfukuza Zitto Kabwe

    Asijidanganye, chama alikikuta na bado kinawenyewe, yote anayoyafanya watu wameyapitia pia na wanamsoma tu, ajiangalie sana.....
  14. S

    Ni kweli kuna makabila yasiyotakiwa kutoa rais wa nchi?

    Hebu tutajie angalau hayo makabila bac, hata na cc tuone ukweli ama uongo uliomo hata kama hakuna mahala kikatiba ama ki sera inayo halalisha ucemi wako. Watu wapige kaz tuone kama hatajawapa URAIS{waache wiz, ubinafsi)
  15. S

    kwa Hotuba ya Mhe, Membe jioni hii bungeni Anastahiri Kuoteshwa 2015 Magogoni

    Hotuba pekee haimfanyi mtu kufaa kuwa Rais2015, ongeza kufikiri kabla ya kuropoka.
Back
Top Bottom