Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 4,651
- 4,154
huyu sio yule pasco ninayemfahamu. Huyu ni mkabila! Anayetetea habari za makabila! Anasema nchi haitakaa kamwe itawaliwe na mchaga hata kama anazo sifa sahihi! Nimemsamehe bure kwa sababu mwishoni amewsema kuwa ana grievances za kindoa na mkewe mchaga! Pole ndugu yangu. Angalia zisikupeleke mbali hadi kujisahau kiasi kikubwa hivyo! Mimi sio mchaga lakini nataka raisi wa tanzania mzalendo, mwenye maadili mema, mwaminifu, mchukia ufisadi na dhuluma, mtetezi wa maskini, mwenye itikadi safi n.k. Bila kujali kabila wala dini yake wala kanda anayotoka!
Ambaye ni adimu sana kutoka ukanda tajwatajwa!